Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Sheria gani inasema ni lazima kutoa mkono?Sheria gani inakataza kapten asiwashike mkono wachezaji wenzake wakati wa kuwatambulisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria gani inasema ni lazima kutoa mkono?Sheria gani inakataza kapten asiwashike mkono wachezaji wenzake wakati wa kuwatambulisha?
Swala la kuvaa Sweater huwa linatokea sana katika Derby na Big Matches sio Tanzania pekee angalia entrance scene's kwa mechi za ughaibuni Arsenal vs Spurs, Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs (Jua likiwa kali kabisa) Liverpool vs Manchester United na mechi nyingine nyingi.Kwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu kwanza swali sio unaruka ruka kama harage lililooza shwain kabisaSheria gani inasema ni lazima kutoa mkono?
Acha hizo mjua wote ule na joto kali misweta mmekosa nguo nyingineSwala la kuvaa Sweater huwa linatokea sana katika Derby na Big Matches sio Tanzania pekee angalia entrance scene's kwa mechi za ughaibuni Arsenal vs Spurs, Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs (Jua likiwa kali kabisa) Liverpool vs Manchester United na mechi nyingine nyingi.
Hahahahah!Uchochezi WA Azam TV ni nini
Wao ndio walimwambia Yondani asitoe mkono au walimtuma ajibu agawe mkono Kwa wachezaji wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mimi sio shabiki wa Yanga/Simba kaka, nimeelezea ninavyofahamu.Acha hizo mjua wote ule na joto kali misweta mmekosa nguo nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Karia ndio alimkumbisha alafu hakuwa na haja ya yy kuwapa mikono wachezaji wenzake alipaswa kuwatumbulisha tu.Halafu sikujua kama Ajibu mshamba hivi mpaka alipopewa ucaptain. Hata akiwa anaongea na media. Leo umefika wakati wa kutambulisha kazubaa tu,mpaka Mwakyembe anamkumbusha
Oh, umeuliza tatizo ni nini??Ni wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019.
Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea mkono wa salam kutoka kwa kapten na kukimbilia kuushika mkono wa mgeni rasmi, bahati nzuri tukio limenaswa vizuri sana na Camera za Azam tv.....
Kuna jambo haliko sawa hapa inabidi litaftiwe ufumbuzi mapema sana katika harakat za kuwania ubingwa.
View attachment 1024211
Tatizo la Yondan ni moja tu,Ni wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019.
Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea mkono wa salam kutoka kwa kapten na kukimbilia kuushika mkono wa mgeni rasmi, bahati nzuri tukio limenaswa vizuri sana na Camera za Azam tv.....
Kuna jambo haliko sawa hapa inabidi litaftiwe ufumbuzi mapema sana katika harakat za kuwania ubingwa.
View attachment 1024211
Liverpool na Man Utd sio Derby....Swala la kuvaa Sweater huwa linatokea sana katika Derby na Big Matches sio Tanzania pekee angalia entrance scene's kwa mechi za ughaibuni Arsenal vs Spurs, Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs (Jua likiwa kali kabisa) Liverpool vs Manchester United na mechi nyingine nyingi.
Soma nimeanda Derby na Big Matches somaaaaaa vizuri.
Afadhari hapa wengi watanielewa.Manchester United vs Liverpool huwa inaitwa North-West Derby .
Mambo ya Maurinho na Pogba Man UNi wakati wa Mechi ya Simba na Yanga leo jumamosi Feb 16,2019.
Tukio limetokea wakati kapteni wa Yanga Ajib anawatambulisha wachezaji wake kwa mgeni rasmi alipofika kwa Yondani akagoma kupokea mkono wa salam kutoka kwa kapten na kukimbilia kuushika mkono wa mgeni rasmi, bahati nzuri tukio limenaswa vizuri sana na Camera za Azam tv.....
Kuna jambo haliko sawa hapa inabidi litaftiwe ufumbuzi mapema sana katika harakat za kuwania ubingwa.
View attachment 1024211
anaweza hata kuwakumbatia akiamua. inaonesha ushirikiano na kujiaminiHivi pale Ajib alitakiwa kutoa mkono au kutambulisha wachezaji wenzake???