hiyo meli Ni submersible, ina uwezo wa kuzama chini mita kadhaa, Ni chumba cha captain tu ndo kinakuwa kinaonekana juu. Mzigo unapakiwa ukishakaa sawa inainuka nao.Aiseeeee sasa inatokaje hapo iyo meli[emoji44][emoji44][emoji44]
inazama kama ivi, yale mawe mawili kule yanasoma mita ambazo meli inaenda chini, mzigo ukikaa mahali pake inaibuka nao kisha safari.Aiseeeee sasa inatokaje hapo iyo meli[emoji44][emoji44][emoji44]
Uzao wake upo wapiView attachment 1765130
Meet Zeus, mbwa mkubwa/mrefu kuliko wote kupata kutokea. Ana urefu wa zaidi ya Cm 110(kimo) na pia akisimama kwa miguu miwili alikua na zaidi ya 7.4 ft. Alifariki mwaka 2011 kwa uzee
Motor vehicle shipB.I.G...[emoji3554][emoji3554][emoji3554]View attachment 1765719
Twende taratibu si unajua ushamba mzigohiyo meli Ni submersible, ina uwezo wa kuzama chini mita kadhaa, Ni chumba cha captain tu ndo kinakuwa kinaonekana juu. Mzigo unapakiwa ukishakaa sawa inainuka nao.
Na kushusha Ni hivyo hivyo.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Tutombane tu kwa kweli ndio tunachokiweza...inazama kama ivi, yale mawe mawili kule yanasoma mita ambazo meli inaenda chini, mzigo ukikaa mahali pake inaibuka nao kisha safari.
Mzungu[emoji119][emoji3][emoji3]View attachment 1765729
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haka kamnyama ndio kale kwenye Ile short clip ya "amkeni amkeni wamefungwa tena buana"[emoji3]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hi ndege sijaiwelewa
Kama kawaida ujanja wote uko kwenye Ballast tanksinazama kama ivi, yale mawe mawili kule yanasoma mita ambazo meli inaenda chini, mzigo ukikaa mahali pake inaibuka nao kisha safari.
Mzungu[emoji119][emoji3][emoji3]View attachment 1765729
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hahaaa inaitwa Strato Plane/ Stratolaunch. Imetengenezwa na Bilionea wa Microsoft (co founder wa Bill Gates) kwa lengo la kutumika kama platform ya kurusha rockets kwenda anga za juu. Yaaani badala ya Rocket kuanzia chini ardhini labda Kennedy Space Center pale yeye lengo lake rocket inabebwa mpaka kwenye stratosphere na hii ndege halafu ndo safari inaanzia hapo. Inaaminika italuwa cheap zaidiHi ndege sijaiwelewa
Hatari Sana [emoji848]Hahaaa inaitwa Strato Plane/ Stratolaunch. Imetengenezwa na Bilionea wa Microsoft (co founder wa Bill Gates) kwa lengo la kutumika kama platform ya kurusha rockets kwenda anga za juu. Yaaani badala ya Rocket kuanzia chini ardhini labda Kennedy Space Center pale yeye lengo lake rocket inabebwa mpaka kwenye stratosphere na hii ndege halafu ndo safari inaanzia hapo. Inaaminika italuwa cheap zaidi