Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

In progress:moja ya viwanja vitakavyotumika World cup 2022 huko Qatar
FB_IMG_16183302840707156.jpg
 
Screenshot_20210427-180128.png

Mkusanyiko mkubwa kuliko wote wa nywele za binadamu.😀😀

Huyu jamaa ni kinyozi anakusanya nywele za wateja anazitumia kama mbolea mashambani na pia kuziba matundu barabarani. Huu ni mkusanyiko wa miaka 5 na una zaidi kg 75
 
Aiseeeee sasa inatokaje hapo iyo meli[emoji44][emoji44][emoji44]
hiyo meli Ni submersible, ina uwezo wa kuzama chini mita kadhaa, Ni chumba cha captain tu ndo kinakuwa kinaonekana juu. Mzigo unapakiwa ukishakaa sawa inainuka nao.
Na kushusha Ni hivyo hivyo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
inazama kama ivi, yale mawe mawili kule yanasoma mita ambazo meli inaenda chini, mzigo ukikaa mahali pake inaibuka nao kisha safari.
Mzungu[emoji119][emoji3][emoji3]View attachment 1765729

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kama kawaida ujanja wote uko kwenye Ballast tanks

NJE YA MADA: Hivi ni kweli MV Bukoba walijaza mikungu ya ndizi hadi kwenye ballast tanks badala ya maji??😂😂
 
Hi ndege sijaiwelewa
Hahaaa inaitwa Strato Plane/ Stratolaunch. Imetengenezwa na Bilionea wa Microsoft (co founder wa Bill Gates) kwa lengo la kutumika kama platform ya kurusha rockets kwenda anga za juu. Yaaani badala ya Rocket kuanzia chini ardhini labda Kennedy Space Center pale yeye lengo lake rocket inabebwa mpaka kwenye stratosphere na hii ndege halafu ndo safari inaanzia hapo. Inaaminika italuwa cheap zaidi
 
Hatari Sana [emoji848]

Sijui sisi waafrika tunakwama wapi vitu Kama hivi
 
20210428_131753.png

North African Ostrich (Mbuni) - huyu ndiye ndege mkubwa kuliko wote duniani.
Amazing Fact - Ndiye mnyama mwenye jicho kubwa kuliko wanyama wote wa Kingdom Animalia na jicho lake nikubwa kuliko ubongo wake.
Amazing fact - Ndiye mnyama mwenye speed kuliko wanyama wote wenye miguu miwili duniani anaweza kukimbia kwa speed ya 72km/h.
 
20210428_133119.png

💥Sunrise at Lake Nyasa - Ni ziwa la tatu kwa ukubwa barani afrika baada ya ziwa Viktoria na Tanganyika.
Amazing Facts - Kwa Tanzania ujulikana kwa jina la Lake Nyasa huku Kwa nchi ya Mozambique likijulikana kwa jina la Lago Niassa na Malawi likijulikana kwa jina la Lake Malawi.
 
Back
Top Bottom