Big, Bigger, Biggest...


Amboni Caves (Mapango Ya Amboni) - Ndiyo mapango makubwa ya mawe ya chokaa (limestone) kuliko yote Afrika Mashariki, yanapatikana Tanga, Tanzania.
✍Yalikuwa formed miaka 150 millions years ago kipindi cha Jurassic Age.
 
Wayabomoe tujue huko ndani kuna nini hasa....
 

👉Great Barrier Reef Australia - Is the largest coral reef(matumbawe) in the world yanapatikana Australia katika bahari ya Coral Sea.
👉 Kazi ya Matumbawe katika mazingira.
-Kusafisha maji ya bahari.
-Kutoa makazi kwa mazalia ya samaki.
-Kuzalisha hewa ya oxygen.
-chanzo cha utalii.
-Pia usaidia kulinda eneo la pwani ya bahari kutokana mawimbi makubwa ya maji ya bahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…