Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

Inchi 3.5 ndo pua ndefu kuliko. Ndugu Mehmet Ozyurek anajivunia
Screenshot_20210505-145408.png
 
View attachment 1780103
[emoji871]Amboni Caves (Mapango Ya Amboni) - Ndiyo mapango makubwa ya mawe ya chokaa (limestone) kuliko yote Afrika Mashariki, yanapatikana Tanga, Tanzania.
[emoji871]Yalikuwa formed miaka 150 millions years ago kipindi cha Jurassic Age.
Wayabomoe tujue huko ndani kuna nini hasa....
 
20210510_224459.png

👉Great Barrier Reef Australia - Is the largest coral reef(matumbawe) in the world yanapatikana Australia katika bahari ya Coral Sea.
👉 Kazi ya Matumbawe katika mazingira.
-Kusafisha maji ya bahari.
-Kutoa makazi kwa mazalia ya samaki.
-Kuzalisha hewa ya oxygen.
-chanzo cha utalii.
-Pia usaidia kulinda eneo la pwani ya bahari kutokana mawimbi makubwa ya maji ya bahari.
 
Back
Top Bottom