Big, Bigger, Biggest...

yaaah but ni 21,196 kilometers long, and not 8850km..........Haya ndiyo malengo ya muda mrefu sio kama viongozi wa afrika wanabadilika rangi kama kinyonga.
Aisee.....
Nimekuwa nikisikiasikia kuhusu ukuta huu ila sikuwa nafuatilia sana ila hizo data zimeshangaza sana. Ngoja nipekuepekue kuhusu hii project.
 
Hii picha sijaielewa. Hayo majengo mengine ni ya nini?
 
Hii picha sijaielewa. Hayo majengo mengine ni ya nini?
Kule chini ni beach baada ya beach juu kuna hotel na uwanja wa golf ndo picha ilikopigwa ikionesha hio meli ilipokwama kule chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…