Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
Huu ni Uzi maalum naanzisha ntakua najaribu kushea "vitu vikubwa" ambavyo vimeshawahi kurekodiwa katika sehemu mbali mbali duniani.

Namaanisha vitu ambavyo vimekua vikubwa kuliko kawaida tulivyozoea

Niwe muwazi hii Idea imechochewa (inspired) na kipindi Fulani cha kiteknolojia kutoka channel ya Discovery ambapo wanaongelea "Monster human marvels) kinakwenda kwa jina hilo la heading ya Uzi

Ila tofauti na kipindi hicho hapa ntaongelea Vilivyotengenezwa na binadamu(Man made) na vile vilivyotokea natural pia ntakua nikiweka vitu hivyo " to scale" kulinganisha na vitu vingine

Twende kazi

Screenshot_20210421-213759.png

Pasha Bulker(Meli ya kubwa Tani 76,000 ya kubeba makaa ya mawe) ilivyokwama kwenye tope 2 June 2007, Nobby beach,New Castle, Australia.......Sasa hivi ina jina jipya inaitwa MV Drake
 
Screenshot_20210421-223426_1619034098582.jpg

Huyu jamaa alikua ni msanii wa vichekesho akizunguka na Circus carnivals watu wanamshangaa urefu wake kwa kulipia hela. Wakati wa vita Adolf Hitler akamkamata na kumlazimisha ajiunge na jeshi (Kikosi cha SS)
 
Screenshot_20210421-224443.png

Hii ni sanamu ya mtu mrefu kuliko wote aliyewahi kuishi duniani. Imewekwa hapo unajilinganisha nae. Unaona Shaque O'Neal alivyopigwa gepu

Jamaa aliitwa Robert Pershing Wedlow(1918 -1940) kutoka USA alikua na urefu wa Mita 2.72=8'11"
 
Back
Top Bottom