Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

Burj Khalifa ipo dubai ndio ghorofa ndefu dunian

240px-Burj_Khalifa.jpg
images-1.jpeg
 
River Congo/ Mto Kongo.

1. Mto wa pili kwa urefu Afrika baada tu ya Mto Nile, Mto Kongo una Kilometa 4700.

2. Mto wa pili duniani kwa discharge volume/ kumwaga maji baharini baada tu ya Mto Amazon.

3. World's deepest river/ Mto wenye kina kirefu zaidi duniani. (220 meters)

4. The Congo Basin has a total area of about 4,000,000 km2 (1,500,000 sq mi), or 13% of the entire African landmass.

5. The only major river to cross the equator twice. / Mto Kongo umeizunguka/kuvuka ikweta mara mbili.

6. The Congo River is the most powerful river in Africa. During the rainy season over 50,000 cubic metres (1,800,000 cu ft) of water per second flow into the Atlantic Ocean.

View attachment 1760484
567ebf77a974d745cf3d7ed99f502ccd.jpg
View attachment 1760485
 
Huu ni Uzi maalum naanzisha ntakua najaribu kushea "vitu vikubwa" ambavyo vimeshawahi kurekodiwa katika sehemu mbali mbali duniani.

Namaanisha vitu ambavyo vimekua vikubwa kuliko kawaida tulivyozoea

Niwe muwazi hii Idea imechochewa (inspired) na kipindi Fulani cha kiteknolojia kutoka channel ya Discovery ambapo wanaongelea "Monster human marvels) kinakwenda kwa jina hilo la heading ya Uzi

Ila tofauti na kipindi hicho hapa ntaongelea Vilivyotengenezwa na binadamu(Man made) na vile vilivyotokea natural pia ntakua nikiweka vitu hivyo " to scale" kulinganisha na vitu vingine

Twende kazi

View attachment 1759722
Pasha Bulker(Meli ya kubwa Tani 76,000 ya kubeba makaa ya mawe) ilivyokwama kwenye tope 2 June 2007, Nobby beach,New Castle, Australia.......Sasa hivi ina jina jipya inaitwa MV Drake
Iyo meli itakua na bima kubwa tu naamini kashalipwa kama iyo
 
Back
Top Bottom