Big, Bigger, Biggest...

Big, Bigger, Biggest...

Aisee sasa tungeimiliki hii hapa tz kipindi cha mwendazake c angetoa offer wilaya kisarawe wote tukatembelee chato
bei yake sasa na kwa viwanja vya hapa bongo sizan kama inaweza kutua
 
MAUNA KEA huu ndio mlima mrefu duniani (kama wengekuwa wanapima urefu kwa kigezo cha kuanzia kwenye kitako cha mlima) una urefu wa 33,500 feet [10,210 meters] from the basis. But from the sea level is 4,207.3 m (13,803 ft)
images.jpeg
images-2.jpeg
 
Ni cargo liner hiyo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Bro unakumbuka kiongozi wa wanyonge alimnyanyua toka nyuma msaidizi wake akamwambia haya na wewe njoo useme unachangia shiling ngapi?

Yule angekchukua mizigo yote ya mafenesi na mihogo kutoka samvu la chore kupelekwa mwanza mall au chato mall!
Jamaa alijua kuthubutu mwendazake
 
Back
Top Bottom