Paloma nahisi bado ana mtazamo wa Cherrish (mshindi BBA I) ambaye anatoka Kitwe kama yeye (labda alimshauri). Cherrish toka aingie alishika sana dini, alafu makanisa ya Zambia yalipiga vita sana BBA, sasa kwa vile anajua hili anajaribu kufuta hayo anasahau kuwa kuwa mashindi wa huu mchezo hautegemei nchi yako tu, unategemea afrika nzima.
Na kwa mtazamo wangu Paloma yupo hatarini wakati wowote akiwa naominated na stong candidate kidogo atakuwa nje. Nadhani hata Elizabeth anakwepa kuwa replicate wa Latoya, anajaribu sana kujitofautisha naye. shida ni kuwa ukishingia huko ndani huwezi jua hata hisi nje kuna manyunyu au Jua ha ha ha Patamu sana
Sasa Hivi Paloma anacontrol alliance ya wasiovuta, lakini kwa ujumla nadhnai Viewers wengi wangetaka Paloma atoke lakini kutokana na kuongea kwake kwingi amewatisha waliondani kiasi kwamba itachukua muda sana mpaka aweze kuwa Nominataed.
Jamani vipi imekaaje nilikuwa niemshalala na haukan clip m-net, kuna minong'' ono kuwa Emma na Jerremy wame-do usiku wa jana, na pia Quinn aliyejirani yao inasemekana alishindwa kabisa kulala watu walisikia miguno ikitokea kitandani kwa kina Jemma ana quinn akijigeuza geuza.
Yeah ngoja tuone leo but kuna possibility kubwa kuwa Jema walifanya .......... usiku
Paloma and Rene have a very tense relationship that has seen them clash a few times since they entered the House. It is known amongst their Housemates that they don't particularly get along, and it seems things are coming to a head. Both Housemates nominated each other in today's nomination session- Paloma gave the reason that Rene has turned against the girls, while Rene's reason is that she finds Paloma too loud, too patriotic and too serious.
Kama Elizabeth angeweza kuagua hali ya huku nje basi hakuna jambo ambalo lingetufurahisha kama kumwacha Paloma afikishwe kwa Pilato J2 hii. lakini inavyoonekana atamuokoa kwa mbadirisha na Hannington. Watu tunausongo sana na huyu Poloma.
News: Nominations Announcement
28/09/2009 8 comments
The nomination session has culminated the nomination of four Housemates. Paloma and Liz were on the hitlist for the Smokers' Alliance, and they received an overwhelming amount of nominations from the competition. Most of the reasons given by the Smokers' Alliance was that Paloma was overbearing and bossy. The reasons given by those who nominated Liz ranged from her being rude and untrustworthy, to simple alliance decisions.
On the other hand, most of the people that are loyal to the Girl Power alliance stuck to their guns by nominating Rene and Edward. The main reason for nominating Edward was because they felt that the twins are strong contenders together, but apart, they would be easy to beat. Some people voted for Rene because she's lazy, while others voted for her simply because it was an alliance decision.
Ninaombea sana Big Mama from Kitwe aachwe ili aone hasira za waafrika zilivyo. Maana Paloma anajiona ni strong contender, while watazamaji tunaona ana-bore.
Huyu Dada atakipata kama cha Mimi wa Ghana mwaka jana. Nadhani pia alliance ya wasichana itasambaratika na itaanza kuamini kuwa kweli Twins ni strong contenders kumbe wapi, alafu wanawapa umaarufu hawa twins kama ilivyokuwa kwa mwisho (BBA I) na Ricco (BBA III) maana walipokuwa wanapona eviction ndivyo walivyozidi kupata umaarufu. Nimeshaanza kuchapa kura zangu kwa kwenda mbele
Mkuu Mbogela,
Ina maana wiki hii wanatoka washiriki wawili na siyo mmoja?
Lakini BB amecheza kuweka vichwa vinne, maana vingekuwa 2, Liz na Paloma wange-save, kutuwekea vichwa vinne itaongeza ushindani na haki ya kura itatendeka.
.