Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Sasa Hivi Paloma anacontrol alliance ya wasiovuta, lakini kwa ujumla nadhnai Viewers wengi wangetaka Paloma atoke lakini kutokana na kuongea kwake kwingi amewatisha waliondani kiasi kwamba itachukua muda sana mpaka aweze kuwa Nominataed.
 
Paloma nahisi bado ana mtazamo wa Cherrish (mshindi BBA I) ambaye anatoka Kitwe kama yeye (labda alimshauri). Cherrish toka aingie alishika sana dini, alafu makanisa ya Zambia yalipiga vita sana BBA, sasa kwa vile anajua hili anajaribu kufuta hayo anasahau kuwa kuwa mashindi wa huu mchezo hautegemei nchi yako tu, unategemea afrika nzima.

Na kwa mtazamo wangu Paloma yupo hatarini wakati wowote akiwa naominated na stong candidate kidogo atakuwa nje. Nadhani hata Elizabeth anakwepa kuwa replicate wa Latoya, anajaribu sana kujitofautisha naye. shida ni kuwa ukishingia huko ndani huwezi jua hata hisi nje kuna manyunyu au Jua ha ha ha Patamu sana

Siku Paloma akiwa nominated, hata akiwekwa na mshiriki ambaye ni weak link, nina uhakika kwamba viewers watamng'oa kwa sababu ya dominance yake na kutaka watu wote wa-behave kama yeye.

Elizabeth mpaka dakika hii yuko very safe in terms of nominations kwa kuwa kwenye alliance zote 2 ana watu wake. Kwenye alliance ya wavuta sigara alikuwa na support ya Yacob na Phil, ingawa ana kasheshe zake na Hannington ambazo sioni kama zinaweza kusuluhishika kirahisi. On top of that kwenye alliance ya wavuta sigara mwenye final say ya strategy na nominations ni Yacob ambaye hawezi kum-nominate Elizabeth. Kwa upande wa wadada sijaona hata mmoja ambaye anamsema vibaya au hata kufikiria kum-nominate.

Kura ya Uganda haiko predictable maana bado wana uchungu na LaToya alivyom-dump Morris last yr halafu akaenda kwa Ricco, unless wawe wamesahau. Pia hii kasheshe ya juzi na Hannington ina matter sana kwa kuwa ni kasheshe kama hizo ambazo zinaweza kumfanya mshiriki awe very unpopular kwa viewers na washiriki wengine pia. Kwa hiyo strategically, Uganda inaweza kum-vote out mshiriki yeyote ambaye anaonekana anaweza kumletea kasheshe ambazo zina athari kwa mwakilishi wao.

Alliance ya wavuta sigara naona inateketea taratibu kama sigara, sijui kama wataweza ku-recover tena, kwa kuwa in terms of numbers tayari wasiovuta + Girls Power wana nguvu zaidi. The only thing that can help smokers ni kushinda HoH, otherwise watapukutika mmoja baada ya mwingine.
 
Sasa Hivi Paloma anacontrol alliance ya wasiovuta, lakini kwa ujumla nadhnai Viewers wengi wangetaka Paloma atoke lakini kutokana na kuongea kwake kwingi amewatisha waliondani kiasi kwamba itachukua muda sana mpaka aweze kuwa Nominataed.

Dawa ya huyo dada ni ndogo sana, wavuta sigara wajitahidi washinde HoH wiki ijayo, then wam-swap ili wategeshe shingo yake kwenye kitanzi. That will be her end, hakuna viewer ambaye anataka kusikiliza pumba zake na mahubiri yasiyo na kichwa wala miguu na kuwatisha washiriki wenzake as if yeye ndo mama yao.

Akitoka Paloma lazima alliance ya wasiovuta sigara itayumba sana na inaweza kusambaratika. Kama ulivyosema, Paloma anawatishia sana wenzake, kwa maneno mengine ana dictate terms (dictator) kwa members badala ya kukubaliana kwa mjadala.
 
Jamani vipi imekaaje nilikuwa niemshalala na haukan clip m-net, kuna minong'' ono kuwa Emma na Jerremy wame-do usiku wa jana, na pia Quinn aliyejirani yao inasemekana alishindwa kabisa kulala watu walisikia miguno ikitokea kitandani kwa kina Jemma ana quinn akijigeuza geuza.
 
Yeah ngoja tuone leo but kuna possibility kubwa kuwa Jema walifanya .......... usiku
 
Yeah ngoja tuone leo but kuna possibility kubwa kuwa Jema walifanya .......... usiku

kazi ipo, ngoja tuone Elizabeth atatua vipi hii issue
Paloma and Rene have a very tense relationship that has seen them clash a few times since they entered the House. It is known amongst their Housemates that they don't particularly get along, and it seems things are coming to a head. Both Housemates nominated each other in today's nomination session- Paloma gave the reason that Rene has turned against the girls, while Rene's reason is that she finds Paloma too loud, too patriotic and too serious.


Nadhani Rene yupo sahihi na watazamaji kama mimi namwona Paloma too loudy and wants to dominate and control. Tuletee Paloma jamani nina usongo naye kama nini!@@@!@@!#*%$
 
News: Nominations Announcement


icon_date.gif
28/09/2009
icon_comm.gif
8 comments



The nomination session has culminated the nomination of four Housemates. Paloma and Liz were on the hitlist for the Smokers' Alliance, and they received an overwhelming amount of nominations from the competition. Most of the reasons given by the Smokers' Alliance was that Paloma was overbearing and bossy. The reasons given by those who nominated Liz ranged from her being rude and untrustworthy, to simple alliance decisions.

On the other hand, most of the people that are loyal to the Girl Power alliance stuck to their guns by nominating Rene and Edward. The main reason for nominating Edward was because they felt that the twins are strong contenders together, but apart, they would be easy to beat. Some people voted for Rene because she's lazy, while others voted for her simply because it was an alliance decision.
 
Kama Elizabeth angeweza kuagua hali ya huku nje basi hakuna jambo ambalo lingetufurahisha kama kumwacha Paloma afikishwe kwa Pilato J2 hii. lakini inavyoonekana atamuokoa kwa mbadirisha na Hannington. Watu tunausongo sana na huyu Poloma.

Na hili la Emma Kutomwamini Jerremy limekaaje?? Mimi nilidhani kuwa kwa kuwa Emma (24) ni mkubwa kidogo kuliko Jerremy (22) Basi Jerremy ndio awe insecured? na hata ukiangalia Emma ndio anaendesha gurudumu la mahusiano na hata ndiye kiufundi alianzisha kwani alimuadmire hata kabla hawajaunganishwa.
 
Kama Elizabeth angeweza kuagua hali ya huku nje basi hakuna jambo ambalo lingetufurahisha kama kumwacha Paloma afikishwe kwa Pilato J2 hii. lakini inavyoonekana atamuokoa kwa mbadirisha na Hannington. Watu tunausongo sana na huyu Poloma.

Huo ni mtihani kwa Elizabeth kwa kuwa Liz na Paloma wako kwenye alliance moja. Je, Elizabeth atamuokoa nani na amuache nani? Na sina hakika kama anaweza kuwaokoa wale wavuta sigara 2, japo nina hakika kwamba hana kasheshe nao.
 
News: Nominations Announcement


icon_date.gif
28/09/2009
icon_comm.gif
8 comments



The nomination session has culminated the nomination of four Housemates. Paloma and Liz were on the hitlist for the Smokers' Alliance, and they received an overwhelming amount of nominations from the competition. Most of the reasons given by the Smokers' Alliance was that Paloma was overbearing and bossy. The reasons given by those who nominated Liz ranged from her being rude and untrustworthy, to simple alliance decisions.

On the other hand, most of the people that are loyal to the Girl Power alliance stuck to their guns by nominating Rene and Edward. The main reason for nominating Edward was because they felt that the twins are strong contenders together, but apart, they would be easy to beat. Some people voted for Rene because she's lazy, while others voted for her simply because it was an alliance decision.

Nominations za leo zimekaa vizuri sana na zimevuruga strategy ya kundi la Paloma. Jana usiku walikuwa wana-discuss kwamba wawaweke Rene na Edward, then wamshawishi Elizabeth am-swap Rene na Erastus and in that way pacha mmoja ataondoka.

Erastus alishasema kwamba Ed akitolewa na yeye hatakubali kubali kubaki ndani peke yake bila pacha wake nadhani non-smokers plus wadada waliamua kumtoa Ed ili Erastus awe frustrated na walitegemea kwamba watu 2 tu wangekuwa nominated, sasa game plan yao imebuma na ninaona kuna dalili zote za Rene kutoka iwapo ataachwa awe up for eviction, mapacha wataendelea kuwatesa tu humo ndani japo hawana nafasi ya kushinda.

Nasubiri baadaye tuone maamuzi ya Elizabeth. Ninaombea sana Big Mama from Kitwe aachwe ili aone hasira za waafrika zilivyo. Maana Paloma anajiona ni strong contender, while watazamaji tunaona ana-bore.
 
Hatimaye imekuwa! Elizabeth amemuokoa Liz akijua kuwa Paloma ni strong contender hawezi kutoka kumbe ndio kwisha habari, Paloma atakuwa nje. Mbaya zaidi wote wawili wenye bifu yaani Paloma na Rene watatoka hivyo wote watadhani wametolewa kutokana na bifu lao. Nimefuarahi kwi kwi kwi kwi, Wasichana na aliance yao watapata mshtuko mkubwa sana watakapoona kuwa mama yao nje.

Big Brother announces that this week Paloma, Rene, Liz and Edward are up for Eviction. The Housemates now know for sure that four Housemates are up for Eviction.

Elizabeth, the new HoH, is soon called into the Diary Room to announce which Housemate she is saving and who she is replacing them with. She saves Liz and replaces her with Erastus.

A tearful Elizabeth saves Liz and replaces her with Erastus. The rest of the Housemates errrupt into song and pretend like all is well in the House
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=18769
 
Last edited:
Ninaombea sana Big Mama from Kitwe aachwe ili aone hasira za waafrika zilivyo. Maana Paloma anajiona ni strong contender, while watazamaji tunaona ana-bore.

Huyu Dada atakipata kama cha Mimi wa Ghana mwaka jana. Nadhani pia alliance ya wasichana itasambaratika na itaanza kuamini kuwa kweli Twins ni strong contenders kumbe wapi, alafu wanawapa umaarufu hawa twins kama ilivyokuwa kwa mwisho (BBA I) na Ricco (BBA III) maana walipokuwa wanapona eviction ndivyo walivyozidi kupata umaarufu. Nimeshaanza kuchapa kura zangu kwa kwenda mbele
 
Huyu Dada atakipata kama cha Mimi wa Ghana mwaka jana. Nadhani pia alliance ya wasichana itasambaratika na itaanza kuamini kuwa kweli Twins ni strong contenders kumbe wapi, alafu wanawapa umaarufu hawa twins kama ilivyokuwa kwa mwisho (BBA I) na Ricco (BBA III) maana walipokuwa wanapona eviction ndivyo walivyozidi kupata umaarufu. Nimeshaanza kuchapa kura zangu kwa kwenda mbele

Mkuu yaani umenifurahisha sana ungekuwa jirani ningekupa offer ya lunch ama dinner kwenye five star hotel. Yaani ninatamani sana Paloma atoke haraka sana. Few days ago alikuwa anasema haoni kama anaweza kuwa nominated kwa hiyo ana hope kufika mwisho akiwa na wadada wengine 3; Liz, Nkenna na mmoja nimemsahau. Wengine wote anawaona ni weak, kumbe hajijui kwamba yeye ndo weak. Ngoja nikaendeleze kampeni Oboma Forum.

Jamani wale wenye acces ya kupiga kura ninaombeni sana wapeni twins kura zenu kwa kuwa tu ninataka watu wawe huru kucheza game na siyo mtu mmoja anakaa ana-dictate terms na kuchunguza kama watu wana behave au la ama wanaongea nini katika maongezi yao.
 
Mkuu Mbogela,

Ina maana wiki hii wanatoka washiriki wawili na siyo mmoja?

Lakini BB amecheza kuweka vichwa vinne, maana vingekuwa 2, Liz na Paloma wange-save, kutuwekea vichwa vinne itaongeza ushindani na haki ya kura itatendeka.

Kosa jingine la Paloma ni kwamba anapanga mikakati ya ku-nominate watu na huku watazamaji wanamsikia na hajui kama anajiongezea maadui nje ya jumba. Nina hakika Malawi, Namibia, Uganda, Zimbabwe na Ethiopia, lazima watamnyima kura Paloma kwa kuwa ana bif na wawakilishi wao. Nyingine zilizobaki kura zinaweza kwenda either way na ninaombea Tanzania wamnyime kura Paloma.
 
Mkuu Mbogela,

Ina maana wiki hii wanatoka washiriki wawili na siyo mmoja?

Lakini BB amecheza kuweka vichwa vinne, maana vingekuwa 2, Liz na Paloma wange-save, kutuwekea vichwa vinne itaongeza ushindani na haki ya kura itatendeka.
.

Biggie ndipo alipotutega hapo na ndio mchezo unaponoga maana atatajwa mmoja alafu watu wanabaki wanakuna vichwa kama game limeisha au bado, safari hii inabidi aanze mapema kutoa wawili wawili maana wapo wengi mno sijui kama ndio anaanza wiki hii, inavyoonyesha anaweza akala vichwa viwili. Yaani Elizabeth ameongeza washabiki ghafla kwa kumwacha Paloma aonje cha mtema Kuni. Kutoka mwanzo nilimwona she has matured barain leo nimeprove, kulia lia kwakwe kulinipa mashaka kidogo lakini leo amenifanya niongeze mapenzi yangu kwake sio kwa ajili ya Utaifa sasa kumpenda yeye kama yeye, I think she is a reasonable lady ndio maana huwa anashikwa na compassion/sympathy kiharaka. J2 atalia kuona Paloma anatoka, maana huenda anamini Paloma ni strong kama alivyowadanganya kuwa hawezi toka mapema. Tuonane huko Obama.
 
Hannington amemwomba msamaha Elizabeth huku akijua amemnominate, na Eliza amemwambia J2 sio mbali kila mtu atajua nini amefanya, na kuwa alishamsamehe siku nyingi asingekuwa amemsamehe asingekuwa anaongea naye.
 
Ngoma imenoga, Hannington (Uganda) na Mzamo (Malawi) wameweka ajenda sawa. Maana usiku huu kumewakuwa na mabusu moto moto. Watu wanasema kuwa hii bondi itakuwa tamu kuliko ya kina Emma na Jerremy, maana Hannington na mzamo wameshaonyesha ufundi wao wa kugawiana denda uliowaimpress waungwana. Hata hivyo nakumbuka Tawana (Botswana) kwenye BBA III Hii strategy haikumsaidia na iliwafanya washabiki wamchukie zaidi. Nadhani watazamaji sio nia yao kuona watu wakifanya ngono au kupigana mabusu bila utaratibu, nadhani watu wanataka kuona maisha halisi, yaani kuwe na natural chemistry and attraction. Hata kama una-fake basi hakikisha watu hawaoni hicho kitu, waone uhalisia, waone feeling, waone wivu, waone furaha, waone hasira na unavyosuruhuhisha matatizo yako na huyo mpenzi wako. Ukiwa mpole mno kiasi kwamba waone unaburuzwa tabu, ukiwa mkali mno unajipalia makaa, uwe mtu kati.
 
Mzamo na Hannington wanaweza kufika mbali iwapo watakuwa consistent, kwamba waendelee kuwa pamoja mpaka mmoja wao atakapotolewa. Na kwa kuwa Hannington hapendwi na wasichana walio humo ndani, nina hakika atabanana na Mzamo mpaka mmojawao atakapotoka.

Kosa la Tawana BBA3, hakuwa consistent. Naweza kusema alikuwa cha wote. Alipoingia alikuwa attracted kwa Munya, lakini Munya alikuwa anamtaka Lucie. Tawana akajikuta anajibamiza kwa TK (Zambia), akampa BJ mara moja na ndiyo ikawa mwanzo na mwisho. Aliporudi toka Dampo aliishia kuwa frustrated kwa kuwa TK alishaamua kuwa na Sheila (Kenya), Tawana akajikuta ana hang hana pa kwenda. Baada ya Lucie kutolewa, Tawana alimtongoza Munya kwa makubaliano kwamba no strings attached, na kwamba mambo yataishia humo humo ndani. Yule dada nadhani ana matatizo, maana kwake ngono ndio dawa ya kumuondolea frustration na alikuwa anaonekana kwamba asipofanya muda mrefu anachanganyikiwa na aliwahi kumwambia Big Brother kwamba yeey anataka mtu wa kumpa dose tu. Munya alipoenda Finniland, huku nyuma Tawana akagawa denda kwa Ricco na hao marafiki 2 wakawa wanamzunguka wote wanamshughulikia bila yeye kujua kwamba anazungukwa na watoto wa mjini. Hilo ndio lilikuwa kosa la Tawana. Kilichomsaidia akafika mbali ni kwamba alishinda HoH nyingi nadhani kuliko housemates wengine wote na pia baada ya kutoka Dampo hakuwahi kuwa nominated for eviction.

Kosa la Tawana ni sawa na kosa la Kweku T (Ghana - BBA2), jamaa kalikuwa ka-kasanova flani nadhani aliwatokea wadada 3 au 4 kama sikosei, na wote aliowatokea walikuwa kwenye kundi moja wakati wanaanza. Siku alipopanda kwenye eviction hakurudi ndani ya Jumba, ndio ilikuwa kimoja.

Kila la heri kwa Hannington na Mzamo, wanaweza kutengeneza kapo ambayo iko independent, tofauti na JEMMA ambayo ninaona inaingiliwa na influence ya headmistress (Paloma). Sikutarajia kumsikia Emma akisema ham-trust Jeremy eti kwa kuwa Jeremy amekuja kwa malengo ya game, je, hao aliowataja kwamba ana wa-trust wao wameenda kucheza makida makida? Hoja hiyo imetolewa na Paloma na Emma ameichukua na kuimeza kama ilivyo bila kufikiria. Yaani mtu umgawie denda na bado useme hum-trust, sasa hao wengine anaowa-trust wana nini ama wamempa nini? Emma anafuata msimamo wa Paloma ambaye ameishaapa kwamba hatakuwa na mahusiano yoyote, so anataka Emma awe na msimamo kama wake ili ikifika siku ya kumtoa kafara Jeremy iwe ni rahisi, kwa kigezo kwamba Jeremy nae ni mshindani.
 
Elizabeth akafanya la maana kumuokoa Hanington
 
Back
Top Bottom