Girl Power in Shamble
Baada ya ku-pair na wavulana, hakuna tena Girl Power, tatizo ni kwamba Emma na Nkenna wame-pair na wavulana waliokuwa kwenye alliance tofauti na ndiyo maana saa zote wanajiona hawako safe.
Nkenna kama asingechangamka last weekend kupiga kampeni, wiki hii angekuwa up for eviction. Info za Girl Power + Non-smokers zina-leak mapema kwa sababu makubaliano ya nominations yanawagusa watu wao wa karibu na hivyo baadhi huenda kuwabonyeza ili kuwa-alert.
Hizi ndo dakika za majeruhi, maana hata Tatiana (Angola) BBA2 alituhumiwa hivyo na Maureen (Uganda) kwamba hana muda wa kuongea na wasichana wenzake ilhali jumba lilikuwa limebaki na wasichana 3 na wavulana 2, na same Maureen alikuwa na Code muda mwingi.
So tuhuma anazorushiwa Emma zinaweza zisiwe za kweli, na pia yeye mwenyewe amejishitukia sana, nadhani hisia zinamtuma kwamba Quinn lazima atakuwa alim-swap, which is true. Pia Quinn kajipalia makaa alipowaambia watu wa kambi yake kwamba come weekend tunaweza kuwapoteza rafiki zetu wa karibu sana, lakini ndiyo game. Kauli hiyo lazima imemtatiza sana Emma na ndio maana hana amani kabisa anahisi anaweza kutoka.
Alliance zilizobaki ni hizo pairs zao tu, na hata pair zikivunjwa, bado tunaweza kuendelea kuona zinaendelea informally kwa kuwa nina uhakika kuna trust ya aina fulani ambayo imejengeka.
Juzi kwenye diary session kwa mara ya kwanza nilimsikia Emma akiwa anaongelea positive side ya Ed. Lakini tangu wameingia humo ndani Emma alikuwa mstari wa mbele kuwatoa Ed na pacha wake. Leo anaongea lugha tofauti na kuonyesha kwamba Ed is a good guy except labda mambo ya ku-flash, japo sasa hivi naona amepunguza sana ku-flash baada ya pacha wake kuondoka.
News: Emma Losing Hope
Emma tells Big Brother that she heard that the other female Housemates are ganging up against her. The girls seem to be losing sight of one of them taking the prize.
Emma tells Big Brother that she heard that the other female Housemates are ganging up against her. She says that the girls believe that she has been all about Jeremy ever since the two groups joined. She adds that they have no idea that she is still part of the plan of getting a woman to the finals.
In her Diary Room session, Geraldine confirms Emma's fears saying that she overheard Mzamo and Nkenna talking about it.
Emma also says that Nkenna seems to be the only solid member of the Girl Power Alliance.
Nkenna, in her Diary Room session, seems to have completely given up on the Girl Power Alliance. She says that the strategy cannot work because girls are paired with guys. Nkenna has been strategising more and more with her Comrade in Arms, Itai.
The girls had initially made a pact to stick together so that a woman would be the last in the House. The Alliance suffered one of its biggest blows when its "leader", Paloma, was evicted.