Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Girl Power in Shamble

News: Emma Losing Hope

Emma tells Big Brother that she heard that the other female Housemates are ganging up against her. The girls seem to be losing sight of one of them taking the prize.

Emma tells Big Brother that she heard that the other female Housemates are ganging up against her. She says that the girls believe that she has been all about Jeremy ever since the two groups joined. She adds that they have no idea that she is still part of the plan of getting a woman to the finals.

In her Diary Room session, Geraldine confirms Emma's fears saying that she overheard Mzamo and Nkenna talking about it.

Emma also says that Nkenna seems to be the only solid member of the Girl Power Alliance.

Nkenna, in her Diary Room session, seems to have completely given up on the Girl Power Alliance. She says that the strategy cannot work because girls are paired with guys. Nkenna has been strategising more and more with her Comrade in Arms, Itai.

The girls had initially made a pact to stick together so that a woman would be the last in the House. The Alliance suffered one of its biggest blows when its "leader", Paloma, was evicted.

Baada ya ku-pair na wavulana, hakuna tena Girl Power, tatizo ni kwamba Emma na Nkenna wame-pair na wavulana waliokuwa kwenye alliance tofauti na ndiyo maana saa zote wanajiona hawako safe.

Nkenna kama asingechangamka last weekend kupiga kampeni, wiki hii angekuwa up for eviction. Info za Girl Power + Non-smokers zina-leak mapema kwa sababu makubaliano ya nominations yanawagusa watu wao wa karibu na hivyo baadhi huenda kuwabonyeza ili kuwa-alert.

Hizi ndo dakika za majeruhi, maana hata Tatiana (Angola) BBA2 alituhumiwa hivyo na Maureen (Uganda) kwamba hana muda wa kuongea na wasichana wenzake ilhali jumba lilikuwa limebaki na wasichana 3 na wavulana 2, na same Maureen alikuwa na Code muda mwingi.

So tuhuma anazorushiwa Emma zinaweza zisiwe za kweli, na pia yeye mwenyewe amejishitukia sana, nadhani hisia zinamtuma kwamba Quinn lazima atakuwa alim-swap, which is true. Pia Quinn kajipalia makaa alipowaambia watu wa kambi yake kwamba come weekend tunaweza kuwapoteza rafiki zetu wa karibu sana, lakini ndiyo game. Kauli hiyo lazima imemtatiza sana Emma na ndio maana hana amani kabisa anahisi anaweza kutoka.

Alliance zilizobaki ni hizo pairs zao tu, na hata pair zikivunjwa, bado tunaweza kuendelea kuona zinaendelea informally kwa kuwa nina uhakika kuna trust ya aina fulani ambayo imejengeka.

Juzi kwenye diary session kwa mara ya kwanza nilimsikia Emma akiwa anaongelea positive side ya Ed. Lakini tangu wameingia humo ndani Emma alikuwa mstari wa mbele kuwatoa Ed na pacha wake. Leo anaongea lugha tofauti na kuonyesha kwamba Ed is a good guy except labda mambo ya ku-flash, japo sasa hivi naona amepunguza sana ku-flash baada ya pacha wake kuondoka.
 
Get it live from here:

16Oct_keri_art.jpg


keri-hilson1.jpg


keri-hilson.jpg


Live Feed: Keri Hilson is in the House!

http://www.mnetafrica.com/bigbrother/livefeed/
 
Seems all housemates are shocked by this visit. Elizabeth seems to be shocked more than any other!
 
Kha,

Liz anasugua makalio alikokuwa amekaa Keri (sijui ili iweje!)
 
Mkuu naona una generator la nguvu...............lol
 
Liz na Kaone wameaga mashindano ... Kristal amelia, Quinn kajisikia vibaya na sasa emotions zinaanza kuonekana wazi hata kwa wale waliokuwa wakisema kila siku kwamba It is just a game!

Who is next? or Which pair is next?
 
Jamani hivi huyu Kelvin na Elizabeth hili ni gemu au wapo serious wana Bifu
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=19916

Mkuu Mbogela,

Hilo sio game ila ni ujinga, ninasikitika kutumia hilo neno kwa kuwa hiyo pair imepoteza umaarufu wao wote. Sasa hivi wako kwenye crisis, kila mmoja anajuta kwanini alipata balaa ya kuwa kwenye pair hiyo.

Wamepoteza focus ya game, Eliza kawa mkali bila sababu ya kueleweka, Kelvin anaona aibu na amebaki kuwa mtu wa kujibembeleza kwa Eliza masaa yote na mtoto hataki kuwa close na kajamaa basi ni kero tupu.

Dada yetu yuko too moody, huwezi kutabiri ata-respond vipi akiambiwa kitu chochote na housemate yeyote na ninahisi most of housemates wanam-avoid kwa sasa na ndio maana most of the time yuko mwenyewe peke yake ama wanagombana na Kelvin.

Oboma forum wamembatiza kwamba ni mshiriki ambaye ni mgonjwa kila kukicha na saa zote wanaulizia yuko wapi, maana haonekani/hasikiki.

Hii pair ilikuwa very strong lakini tangu wameanza huo ujinga wao, wamepoteza mashabiki kibao. Hata Nigerians ambao walikuwa wapiga debe wakuu wa Kevin nao wameanza kukata tamaa na wameanza kuhamishia nguvu kwa Geraldine, hivi kweli Geraldine nae ni mshiriki wa kulinganisha na washiriki wengine?

Kelvin alihisi kwamba Eliza anampenda, na alihisi angekubaliwa na hatimaye akatangaza kwenye diary session kwamba karibu ata-win. Baada ya Eliza kubadilisha kibao, naona Kelvin amepoteza game, kashikwa na aibu sasa saa zote anambembeleza Eliza.

Dada yetu nae hataki mchezo ni mkali kama pilipili, hataki hata kuguswa wala hataki mambo ya kufunikwa kana kwamba yeye mgonjwa.

Matokeo yake ndio hayo. Nimesikitika sana, maana wote wawili wameonyesha hawajakomaa. Kelvin hataki kukubali kushindwa, dada yangu nae hataki kuonyesha ukomavu wa majibu ya kistaarab ikitokea ametongozwa. Mbona karibu wasichana wote humo ndani wametongozwa na wamekataa na walitoa majibu kwa ustaarab bila hata kuonyesha kwamba wamechukia ama hawataki kuwa close na walio watongoza, na pia watongozaji nao walijikata kimya kimya wakakubali kushindwa. Sasa hao wote wamekutana hawajakomaa.
 
Mkuu kazi ipo, na ngoja nione nomination zimekaaje, kwa ujumla kama atakuwa nominated wiki hii tusubiri kumpokea dar, maana ameboa kiasi kikubwa, too moody
 
Tutaweza kweli kumuokoa wiki hii, amevheza rafu nyingi mno, ngoja tuone mambo, Elizabeth yupo kwenye nominated list
Leonel saves himself and Mzamo, putting Kevin/Elizabeth in their place.

Big Brother announces that Mzamo/Leonel and Quinn/Kristal are up for Eviction this week. Quinn falls to the floor in mocked shock. Quinn had earlier told Leonel that he could Nominate him.

The Head of House, Leonel is called to the Diary Room and asked to save and replace a pair. He chooses to save himself and his Comrade in Arms, Mzamo. He puts Elizabeth and Kevin in their place.

The pairs up for Eviction are now Quinn/Kristal and Kevin/Elizabeth.
 
Tunaweza tukapona endapo Africa itaacha kampeni ya SADC na endapo voters watakumbuka namna Quinn alivyowaingiza Edward na Emma kwenye eviction list. Pia alivyo mnominate Liz na kuahidi kumuokoa tofauti akajiokoa mwenyewe hali iliyofanya Kaone (kipenzi cha wengi) aondoke jumbani. Pia Quinn anabifu na Itai. Hivyo haitabiriki hapa.
 
Tuna bahati kwamba pair ya Quinn/Kristal nayo ina matatizo, lakini wangepanda na pair kama ya Eddie/Emma, pangechimbika. Lakini mpaka sasa ninaona kuna dalili zote kwamba Kevin/Eliza watapeta.

Quinn ana matatizo, pamoja na kwamba ni SADC lakini alishiriki kikamilifu kuwaondoa Namibians 2 kwa pamoja. Pia ana matatizo ya rangi, alishatumia neno "niga", halikuwafurahisha wengi na walimuona ni kama racist. Juzi pia amesema yeye ni kama white spot, so anaonekana kama vile anajibagua fulani japo anaweza kuwa anayasema kwa nia njema, but such words are sensitive.

Pia kitendo cha kuwatosa Liz/K1 kinawaweka Quinn na Kristal kwenye wakati mgumu. South Africans lazima wamegawanyika, lazima wako watakaopiga kura ya chuki kwa kuwapa Kevin/Eliza. Kura ya Botswana hiyo wameipoteza pamoja na nchi nyingine ambazo zilikuwa zinampenda K1.

Kristal nae ana kasheshe, Oboma forum wanamuona ni kama mtu asie na shukurani kwa Itai, kutokana na yale aliyoyafanya wiki ile Itai akiwa HoH. Lakini pamoja hayo Zim watampa kura yao, ila sina uhakika na nchi nyingine.

Kwa hiyo nina matumaini makubwa kwamba tutavuka na bahati mbaya wiki hii ni wiki ya mwisho kwa couples. From next week kila mshiriki kivyake.

Mpaka hapo SADC factor inaweza isiwe na nguvu sana ingawa baadhi ya watu Oboma nimeona wanaongelea SADC. Ingekuwa na nguvu sana iwapo Eddie/Emma wangekuwa up against Kevin/Eliza, hapo lazima mwakilishi wetu angepata wasaa mgumu kwa kuwa watazamaji wengi wanataka japo m-Nigeria mmoja atoke kwa kuwa wao ndio bado wana dominate Jumba na pair zikivunjwa wanaweza kuunda alliance ya nchi na wakatoa mmoja baada mwingine mpaka wao wote 3 wakaingia kwenye finals.
 
Hivi jamani mnaona kama kuna uwezekano wa kufikia japo hata ka-nafasi ka tatu kwa mrembo wetu Elizabeth?
 
New Alliances in the making?

Kuna alliance 2 ambazo zinatengenezwa, lakini nguvu yake inategemeana na matokeo ya Jumapili, kwa kuwa kuna pair moja ambayo inagusa alliance zote 2.

Alliance ya kwanza ni ya: Jeremy, Emma, Kevin na Elizabeth ambao wamekubaliana kimsingi kuunda alliance ambayo itadumu mpaka kwenye final 5, kama wataweza kuwepo mpaka mwisho. Pamoja na hayo Kevin hana imani na Jeremy & Emma, bali anamwamini zaidi Elizabeth pamoja na wa-Nigeria wenzake. Kama Jumapili pair ya Kevin/Eliza itapona basi tunaweza kuona alliance mpya ambayo haina trust ya kubwa.

Alliance ya pili ni ya Nigerians, hii ni alliance mbaya sana na inaweza kuwa na nguvu kwa kuwa wana aminiana zaidi kuliko wengine wote na hawawezi kusalitiana kirahisi. Diary sessions zao za jana zimeonyesha wazi kwamba wameunda alliance ya aina fulani ingawa haina formal communications, lakini as long as wao ni Nigerians kila mmoja ana-watch back ya mwenzake automatically.

Kevin anaonekana kuwa pande zote 2, je, ataangukia wapi? Anaweza kuwa nyoka ndani ya alliance ya akina Jeremy?

Hapa chini ni maneno yaliyosemwa na Nigerians jana wakati wa diary sessions zao na pia Itai anaonekana ana inside info kwa kuwa ni comrade wa Nkenna, na Nkenna amekuwa akijitahidi sana kumsogeza Itai jirani ili pair yake isiwe nominated.

Nkenna:
I am fine today. I am very tired and hungry..I have not noticed the effects of last night's evictions to the house...I think every one is trying to pull out a Nigerian..At least I have got people in our secret Nigerian alliance...I pray that I become HoH so that I can get rid of the Non-Nigerians so that we the Nigerians can stay longer in the house.

Kevin
I am good today..My comrade in arms is cool...I felt bad about yesterday's evictions though I nominated them..I feel K1 was a good person...now we are just figuring out the best thing to do...I am failing to get some one I can trust...I only trust Elizabeth and the Nigerians..My strategy is now to nominate the person who has alot of competition for me..Leonel has changed a bit and I will not be suprised if I am up for eviction...I am just going to present my self to my Housemates as a threat because Africa will surely keep me in the house ...I believe Africa likes the way I entertain....so my fellow housemates will then fear me because of that.

Geraldine
I am cool today ....about last night's evictions what happened happened...No one can replace my special freind K1 ...some people were happy about the eviction...Leonel was happy that K1 left and that he can get close to me....I am now trying to gather people to save the Nigerians from being nominated and evicted.

Itai
I had mixed feelings about yesterdays Evictions...I felt nice that I was not a replacement...I just think Quinn was just returning a favour to me..I feel there in a new alliance forming with the Nigerians...I belive we can make a difference....people are becoming more noticeable....there is going to be more changes in the house.....I am now missing my family since it is a monday and we have nothing to do today in terms of tasks....I thank bigbrother for bringing Keri Hilson which was a great thing and I am really greatful for that.

Ukisoma hizo highlights zinaonyesha kwamba kuna alliance ya kuaminika inatengenezwa na inaweza kuwa na madhara makubwa kwa kuwa Nigerians waki-dominate Jumba then wao ndio watakuwa na upper hand kuamua nani awe nominated, unless kama the rest wata-win HoH.
 
Hivi jamani mnaona kama kuna uwezekano wa kufikia japo hata ka-nafasi ka tatu kwa mrembo wetu Elizabeth?

Tatizo la mrembo wetu yuko makini sana (hivyo anakua mkimya sana and not so entertaining ) pengine anaogopa maneno ya huku nyumbani kwasababu anajua fika kilichomfika mwenzie aliyetangulia! Halafu inaonekana ana uhusiano nje ya jumba ambao unamuangalia kwa karibu hivyo hataki kuaribu! kwahiyo uponaji wake ni kaazi sana lakini tunamuombea kheri!
 
Mkuu MawazoMatatu,

Umepiga msumari wa moto. Maneno ya watu sioni kama ni tatizo, tatizo liko kwa mpenzi wa nje (mahusiano ya nje, sijui yako kwenye stage gani).

Umakini ukizidi kipimo inakuwa ni kero. May be shemeji yetu ni mkali sana na alimpa masharti magumu sana na anaogopa kuyavunja. Si unajua sisi wanaume tulivyo na wivu, hata kumuona gf wako anashikwa shikwa ama anapapaswa na mwanaume mwingine ni kosa kubwa sana.

Kwa maoni yangu mahusiano ya nje ni kikwazo kikubwa sana kwa mwakilishi wetu. Ameshindwa ku-think ama kushiriki kwenye game independently, matokeo yake anajikuta anabadilika kila siku. Leo anakuwa friendly, kesho anakuwa mkali, keshokutwa analia, siku nyingine yuko kimya kutwa nzima na ukijumlisha na kuugua ugua basi mambo yanazidi kuharibika.

Kila kitu kinatakiwa kiwe na kiasi, asiwe makini sana na wala asiwe care free kama Mzamo. Ajitahidi kujichanganya na wenzake, hata Geraldine sasa hivi anamzidi. Geraldine alikuwa dull from day 1 na pia ana mahusiano. What matters is how you interact with other housemates and how active you are.

Tusikate tamaa tuendelee kumuunga mkono, maana jahazi lao naona limeelemewa, mwelekeo wa kura haueleweki, japo zile za Oboma wanaonekana wanaongoza.
 
Back
Top Bottom