Big Brother Africa 2009: The Revolution



Labda she is bipolar nyie hamjui (ni ugonjwa huo)....she need to consult a doctor...
 
BigBrother is unfair. Housemates did not perfome 0% in today's task.

Anyway, I now know we've Shakira in BigBrother House (Elizabeth). She danced like a queen 🙂
 
BigBrother is unfair. Housemates did not perfome 0% in today's task.

Anyway, I now know we've Shakira in BigBrother House (Elizabeth). She danced like a queen 🙂

umenicheka i see teh teh teh teh
 
Yaani as if you were reading my mind....Eliza sijui ni ushamba au nini but i don't think she went into that house with a strategy kama wengine wanavyoonyesha!!!She is not fun and she is taking things too seriously nahisi huyo boyfreind wake mzungu alimuambia ukiguswa tu na mwanaume nakuacha!!!! anadhani huyo kevin hana girlfreind kwao? dah!!!! she is so dumb!!!!mwanzoni i thought she was kool n all lakini kadiri siku zinavyozidi kwenda i think she should just pack and leave......anadhani kukatika viuno kutamletea votes?

I'm not advocating that she does something immoral or anything lakini angeacha kujisikia and play the game......mimi ningekuwa Kevin for one week ningemuignore kabisaaaaaaaaa....nione atafanya nini she really gets on my nerves eish!!!!!

......Elizabeth = ice queen halafu she is not even all that....sijui kwa nini watu kama akina Jokate hawakujitokeza for this competition.......
 


huyu eliza, mtz kaenda BB hope kwa masharti ya kibwana chake, sasa anaondoa utamu, anadhani tukimlalamikia latoya kwa kuw ahivyo?sasa ameplay too low napo atalalamikiwa, ukiplay too high ndo hivyo, ujanja ni kuwa moderate, na kwa posn aliyofikia ndo alikuwa anaingia ktk umoderate, angemzuga kelvin mchezo ukiisha km vp angeshinda hela zake aje kwenye bakora yake cha mzungu, yule dada pia anao ushamba flani hivi si mjanja kivile
 
The whole coupling thing totally messed up BB... In all respects, one of the couple falls a victim of the other!!! Totally unfair and disgusting

i saw the Botswana guy leaving the house simply because of the couple!!! Just imagine where Kristal would be without that white DJ

Aaaarrrghhhhhhhh!!
 

Umenena mkuu lakini ukweli ni kuwa Eliza na Kelvin hawana wa kumlaumu wote wamechemsha, hata marafiki zao walishajua kuwa Eliza kachemsha ndio maana ilibidi aingizwe kwenye possible eviction, maana wanajua atakayeingia naye atapona tu. Anyway tuendelee kupiga kura tu labda tunaweza tukafanya maajabu.
 

Umenena mkuu lakini ukweli ni kuwa Eliza na Kelvin hawana wa kumlaumu wote wamechemsha, hata marafiki zao walishajua kuwa Eliza kachemsha ndio maana ilibidi aingizwe kwenye possible eviction, maana wanajua atakayeingia naye atapona tu. Anyway tuendelee kupiga kura tu labda tunaweza tukafanya maajabu.
 

Mkuu ina maana umeishakata tamaa tayari?
 

Eliza ni ushamba hakuna kitu kingine hata kama ana boyfriend mzungu naona huyo mzungu ni choka mbaya. Mnakumbuka siku ya kwanza alivyokuwa analia lia kwamba hakwenda shule kwa kuwa hana pesa, kama mzungu angekuwa na pesa asingelia lia kivile.
Inabidi awe serious kama anataka pesa, aondoe mawazo ya huyo bf mzungu, yeye kaenda pale kutafuta bahati ya kupata pesa. Please! Give your vote to her, she can make it.
 
Naona wabongo tumeshakata tamaa
 
Naona wabongo tumeshakata tamaa

Na hii ni mbaya sana, pamoja na kasoro za mshiriki wetu, bado tunatakiwa kutokata tamaa kama jinsi Nigerians walivyo, maana wao mpaka sasa bado wanaendelea kupiga debe la Vote for KELIZ.

Kwa hiyo tusikate tamaa tuendelee kumpa support hata kama ana-bore.
 
Kama ndugu wa Elizabeth hawajaitwa kwenda kumpokea basi bado yupo ndani ya nyumba.
 
Kama ndugu wa Elizabeth hawajaitwa kwenda kumpokea basi bado yupo ndani ya nyumba.
mmmmh mkuu kura zinaisha kuhesabiwa dakika chache kabla ya eviction wanajuaje kuwa hatoki? Ebu tupe update nini kinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…