Nilishatoa ushauri hapo awali kuwa huyu binti anaweza kuwa ana matatizo ya akili, hivyo ni vizuri wataalamu wa psychology wampe ushauri.
Je, ni kweli kwamba Tanzania ni wasindikizaji katika kila mashindano??!
Oh well,except when Kaka K is involved...
kaka K??? ndo nini?
kaka K??? ndo nini?
nakumbuka alimwa mbia Kevin, kuna kitu kibaya sana kilimtokea siku chache kabla ya kuingia jumbani, pengine aliingia mle akiwa pychologically not fit...afadhali arudi apumzike jamani
kajitahidi sana hata hivyo kufikia alipofikia, wapo wengi walioondoka kabla yake kuliko wale watakaoondoka baada yake
welcome home Elizabeth, relax, that is the game....
Sidhani kitu kilichomtokea kabla hajaingia inaweza kuwa sababu, lakini nahisi kuwa huyu mtoto ana matatizo ya malezi na makuzi yake, kwa hiyo ni kitu kilicho kwenye damu yake. Ingekuwa ni suala lililotekea sasa wakati anaingia angekuwa anarudi kwenye sense zake wakati fulani, lakini kwa vile ukimwangalia akitoka nje ya mstari anakuwa moja kwa moja huko wala harudi tena, hii inaonyesha kuwa amekuwa na effect ya muda mrefu kwa hiyo nadhani wazazi wake wanahitaji kumpeleka huyu mtoto kwa wataalam atakuwa na tatizo la mahusiano linalotokana na matatizo ya muda mrefu.
Kwa mfano alipompiga Kelvin na mateke kwasababu amemgusa ilikuwa kama mtoto wa chini ya miaka 6 hivi, kwa umri wake jinsi alivyokuwa nareact ilikuwa ni tofauti kabisa. Next time Multi choice (TZ) wanatakiwa kuwa makini zaidi na uchaguaji wa wawakilishi.
Kevin analia tu,hakutegemea kama Eliza atatoka
Kevin analia tu,hakutegemea kama Eliza atatoka
Pamoja mkuu, dada yetu akija aende muhimbili direct wakamcheki akili.
ha ha haaaaa....
mkuu hii kali!!!
Ila kusema kweli huyu binti noma yani kama Asha ngedere wa Zekomedi!....
Akiwasha moto ndo hauzimiki!
Come home Eliza hatuna jinsi wewe bado ni wetu tu...karibu
Yule ni mmachame pure, atakuwa anamdunda kevin wakioana na jamaa mwenyewe analia lia vile mh? atapewa za uso na chakula cha usiku atakipata kwa manati sana mpaka arefuke mimi Eliza simzii hata kidogo hajatulia pia naulewa mdogo sana wa mambo. anjua kuema kila dakika u know wora m sayin u understand....u understand...
Kwasababu ulikuwa hufuatilii hili ile post ya 6 spetember kwani hiyo post ipo live toka wakati ule inajadili kila siku hatu kwa ahtu jambo linalotokea ndio maana humjui kaka K. Nenda kule utaona historia full na sababu za huyo mdada kutolea hakuna anayelalamika hapa kwa tuliokuwa tunaona tulisha jua atatoka kwani alishchemsha siku nyingi sana, hata kufikia wiki hii ni bahati tu.