Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

Mkuu unamaanisha ni Kristal kaongea hayo?

kristal_graf.jpg

Duh!
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=17791
Picha ilikuwa mbali lakini maelezo yalikuwa ni ya mtu wa Zimbabwe, maana sentensi inaanza I left zimbabwe on...... Mkuu mwaka huu kuna kujiachia kwa sana hapa khaa! Hii BB itakuwa ya kufa mtu. Hizi clip mbona zinagoma kuattach?
 
Aaaaanyway, Gupta in the HOUSE!, Yuko very motivated!..and She has The DRIVE!...

Starehe hizi!, hivi kuna sehemu naweza watch Hii Kitu Live, yaani muda wowote nikitaka!? Instead ya Recorded bits!?,

B.

Kwa upande wa Nyumbani Advantage aliyonayo Elizabeth anatokea Media House, kwa hiyo vyomb vya habari vitamuuza vizuri, maana si unajua kupigana tafu kesho utashangaa media zitakapotoka na vichwa vya habari vizuri sana juu ya Elizabeth.

Mkuu hakuna sehemu ya Free online channel kwa hiyo huna namna kama upo hme lamba DSTV
 
Dah, Hapa nilipo MATOMBO!, DStv Hakuna Mtu wangu,

B.
 
Dah, Hapa nilipo MATOMBO!, DStv Hakuna Mtu wangu,

B.

Ngoja niwaandikie M-Net kucheck kama tunaweza kusubscribe huduma zao online, yaani DSTV tulipie na kupata matangazo Online. Nadhani Huko matombo sawa na mimi huku Makete nahitaji kuona Premier pia mkuu kazi kweli kweli maana mpaka upande juu utikise Dish la Jirani duuuu!
 
Mbogela, unaona mabinti wanavyovaa kimtego?

Wana vituko si kawaida, makeke yao yataisha wakikutanishwa na wanaume
 
Mbogela, unaona mabinti wanavyovaa kimtego?

Wana vituko si kawaida, makeke yao yataisha wakikutanishwa na wanaume

Ha ha ha Nilikuwa naogopa kusema, maana akikaa mtu kufuli nje nje nadhani wanasahau kuwa kuna watu tunawaangalia nje.
 
Ha ha ha Nilikuwa naogopa kusema, maana akikaa mtu kufuli nje nje nadhani wanasahau kuwa kuna watu tunawaangalia nje.
Hahaha, mi nikashangaa au hapa naangalia vibaya, manake mhhh, si kawaida mkuu...

Lakini najua wanajidanganya kuwa wanaoangaliwa kwa sasa ni boys kumbe nao wanaangaliwa. Wakiingia kwenye swimming pool wanadhani hawaonekani, wanavua as if hawako kwenye camera... Hivi tangu zamani ndo hivi au? Manake mi mwenzi wangu ndo kanishauri niangalie this time ili nijue undani wa shindano
 
Mkuu hapa unajitetea tu unataka kusema kabla ya kujiunga na hiyo club ulikua huangalii bba? acha bana
 
Hahaha, mi nikashangaa au hapa naangalia vibaya, manake mhhh, si kawaida mkuu...

Wakiingia kwenye swimming pool wanadhani hawaonekani, wanavua as if hawako kwenye camera... Hivi tangu zamani ndo hivi au?

Mkuu miaka ya nyuma walikuwa kidogo wanaficha mambo, maana walikuwa wanaingia na wanaume siku hiyo hiyo mpaka wakazoeane ilikuwa inachukua wiki kadhaa, wakati ule tulikuwa tunawafaidi wakienda Bafuni, lakini kuna wengine walikataa kuvua chu** na Bra wakiwa bafuni na waliishia kutolewa mapema. Wanajua sana kuwa tunawaangalia lakini ni makusudi tu, $200,000 sio mchezo mkuu khaa! Ona hapa utajua wanajua kuwa tunawaangalia.
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=17875
 
Mkuu hapa unajitetea tu unataka kusema kabla ya kujiunga na hiyo club ulikua huangalii bba? acha bana

Kila kitu lazima kuwe na kitu cha kukufanya ukifahamu, hata mimi nilianza kuangalia hii kitu baada ya watoto wa rafiki yangu kunishwishi, maana kila nikikutana nao utasikia, Uncle did you see Mwisho today??? tulikuwa ugenini na ilikuwa kupata radha ya nyumbani basi tumzungumzie mwisho.
 
Haya mkuu ila Invisible na wasiwasi nae anataka kujitetea... Kidding mkuu.Namtakia Liz all the best atuletee hizo hela nyumbani
 
Haya mkuu ila Invisible na wasiwasi nae anataka kujitetea... Kidding mkuu.Namtakia Liz all the best atuletee hizo hela nyumbani

Mpaka sasa Emma wa Angola akipumnguza kuongea sana ni moto, anaentertain, Jennifer uzuri wake unaweza kumuuza pia. Upande wa wanaume kumepoa sana. ngoja wiki ikiisha tutakuwa na msimamo wa ligi
 
Mbogela, unaona mabinti wanavyovaa kimtego?

Wana vituko si kawaida, makeke yao yataisha wakikutanishwa na wanaume

Utofauti wa Big Brother ya Mwaka huu na ya miaka mingine ni kuwa BBA zilizopita zilifanyika msimu wa baridi, kwa hiyo watu walikuwa muda mwingi wanajisitiri na nguo tukalalamika naona BB ameconsider maombi yetu mwaka huu itakuwa ndani ya summer, saa hizi South wanaanza Summer katika muda si mrefu kutakuwa full joto, hapo itakuwa balaa,
 
Mbogela umepata majibu toka MNET? Maana ulisema unawaandikia kuuliza kama tunaweza kuwapata online live. Mwaka jana niliwahi kuwasiliana nao walinijibu kwamba bado hawajawa na huduma kama hiyo, the only way ya kufuatilia ni kuangalia hivyo vi-clips. Lazima tutakuwa tuna-miss flow ya conversation kwa kuwa jamaa wa MNET wana upload clips zinazowafurahisha wao wenyewe.
 
Bado hawajanijibu mkuu, kweli mkuu kesh wasipoleta majibu mapema nawavutia waya.
 
Jamani Tumpigie Mdada alete hizo dola, na huu mporomoko wa uchumi zitatusaidia wengi khaa
Vote to Keep Your Favourite in the House!
Big Brother wants your Vote: Just remember, you are voting to keep a nominated Housemate in the House!

Which means, the more you vote for your favourite nominated Housemate, the better their chance of staying in the house.
The Housemate who receives the least number of votes will be Evicted.
You can vote to keep a nominated Housemate in the House in three different ways:
1. By sending an SMS
2. Using MXit
3. Via the website, or the wapsite on your mobile phone.
 
Hii Big Brother itatufungua macho kwa mengi, mpaka leo nimejifunza
1. wanawake wakiwa pamoja wanaongelea ngn zaidi kuliko wanaume wakiwa pamoja (sample: wavulana wamezengumzia ngono mara chache zaidi kuliko wasichana ingawa wametangulia one week b4)
2. Wasichana wanapenda kukumbatiana na kukaa pamoaja kama tuvufaranga wavulana wanataka kuwa kila mtu kwake (territorial)
3. wavulana wakiwa pamoja/wakikumbatiana au kulala pamoja inaudhi wasichana it looks beautiful wala hawalaumiwi.
4. wavulana wanajiheshimu kimavazi hata wakiwa pekee yao (ondoa kukaa vifua wazi, I mean chini), hawatembei zipu wazi kwa mfano, wasichana wamekuwa wakaa vibaya, hamna soni dhidi ya wasichana wenzao, underwear zipo nje nje.
 
Elizabeth ameanza vizuri wiki hii kwani wenzie hawajam-nominate for possible eviction lakini kama ataendelea na ukimya huu nina wasi wasi ataonekana kuwa boarer muda si mrefu, yupo kimya mno. Anaweza akajikuta anatoaka kwa kutokuwa na kura nyingi za washabiki
 
Back
Top Bottom