Mbogela
JF-Expert Member
- Jan 28, 2008
- 1,384
- 258
- Thread starter
- #121
http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=17791Mkuu unamaanisha ni Kristal kaongea hayo?
![]()
Duh!
Picha ilikuwa mbali lakini maelezo yalikuwa ni ya mtu wa Zimbabwe, maana sentensi inaanza I left zimbabwe on...... Mkuu mwaka huu kuna kujiachia kwa sana hapa khaa! Hii BB itakuwa ya kufa mtu. Hizi clip mbona zinagoma kuattach?