Big Brother Africa 2009: The Revolution

Big Brother Africa 2009: The Revolution

What is the point of this show, really?

I mean other than the obvious objective of promoting pointless bickering.

If it is about shoving a few stale commercials down your unsuspecting throats, couldn't they do it with something halfway worthwhile instead of this pungent pageantry of pugilism?
 
Afrika haikupendezwa na kauli yake kwamba hajawahi kuwa na uhusiano na mwanaume mweusi. Eti yeye mabwana zake ni whites tu. Alikuwa akimkataa Kevin aliyeonyesha kumpenda kwa dhati. Kwa maoni yangu kauli hii iliwaudhi waAfrika wengi kiasi cha kupoteza kura nyingi za kubaki ndani ya jumba. Hakuwa na sababu ya kumwambia vile Kevin. Katika hili yeye angeweza ku-pretend huku akijua msimamo wake.

kwa mtu kama yeye mwenye exposure na ambaye ametoka hata nje ya nchi hii kauli ni discriminatory, ingesemwa ulaya na mweupe kuwa hawezi kutoka na mweupe au vis Viz ungesikia maandamano kabisa. Hii ilionyesha utoto wa hali ya juu na ubaguzi wa rangi.
 
Hana lolote kaishiwa tu, hapendi black na wakati yeye mwenyewe black.

Kuwa Mtanzania cyo lazima uwe black huenda yeye kalala sana kwenye uhindi ndo maana kaona ni vema hata akawapasha kabla ya kutoka ndani ya mjengo kuwa yeye hamegwi na mweusi ila white tu.
 
kwa mtu kama yeye mwenye exposure na ambaye ametoka hata nje ya nchi hii kauli ni discriminatory, ingesemwa ulaya na mweupe kuwa hawezi kutoka na mweupe au vis Viz ungesikia maandamano kabisa. Hii ilionyesha utoto wa hali ya juu na ubaguzi wa rangi.
Kama alisema hivi na atoke huu siyo utoto huo ni ubaguzi tena na tz ahame maana kuna weusi huku alaa mtoto gani huyu najutia kura zangu
 
waandaaji jamani tupelekeeni mtu wa asili ya tz yaani mtz halisi achaneni na hawa wa kuchonga waigeni nigeria
 
kwa mtu kama yeye mwenye exposure na ambaye ametoka hata nje ya nchi hii kauli ni discriminatory, ingesemwa ulaya na mweupe kuwa hawezi kutoka na mweupe au vis Viz ungesikia maandamano kabisa. Hii ilionyesha utoto wa hali ya juu na ubaguzi wa rangi.

Katiaka mchemsho wa mwaka kwa TZ huu ni wa karne, kusema kweli yule mtoto ana matatizo ya kisaikolojia alitakiwa awe treated kabla ya kwenda awe chini ya drs kwa miaka 2/3, kwa tabia yake iko siku anaweza kuua mtu. Ana tatizo kwenye makuzi yake. Na watu wa multchoice pia ni vichaa wote kwa nini msipeleke mtanzania aslia?
 
Eddie amempania sana kumuondoa Kevin maana ni threat kwake lakini safari hii amechemsha .Siku Kevin au Emma atakapokuwa HOH naamini kabisa Edie lazima atafungasha virago
 
Eddie amempania sana kumuondoa Kevin maana ni threat kwake lakini safari hii amechemsha. Siku Kevin au Emma atakapokuwa HOH naamini kabisa Edie lazima atafungasha virago

Sidhani kama Eddie amechemsha, move yake ya sasa wanataka Leonel aondoke ili kupunguza makali ya kambi ya upande wa pili (Emma/Kelvin/Leonel). Wakishamtoa Leonel, then the other side watabaki Kelvin na Emma tu. Itai hayuko mahali popote, ana hang. So in terms of numbers it will be 4 vs 2 kwenye nominations.

Eddie anaweza kutoka iwapo atasimama na Kelvin au Mzamo. Lakini housemates wengine wote sioni hata mmoja anayeweza kumtikisa. Chances za Eddie kusimama na hao watu sizioni kwa kuwa kambi ya Kelvin hawana numbers, wangekuwa na numbers wangeweza kum-nominate Eddie na mtu mwingine yoyote, then HoH akaenda ku-swap kwa kumuokoa huyo mwingine na kumpachika Mzamo.

Scenario pekee ya Eddie kusimama na Kelvin ni hii hapa. Kelvin awe HoH, then kambi ya Eddie wawa-nominate Kelvin na Emma, halafu Kelvin aamue kumuokoa Emma halafu ampandishe Eddie. HAWEZI kufanya hiyo swap, ina risk kubwa sana. Sana sana atajichomoa mwenyewe na kumpachika Eddie au Mzamo.

Kelvin akishinda HoH on Friday, basi Jumatatu nominations zitakuwa ni Kelvin na Emma. Emma akishinda HoH, basi nominations za Jumatatu zitakuwa ni Emma na Itai. Kambi ya Eddie hawawezi kum-nominate Kelvin wiki ijayo kwa sababu ya dada zake. Lakini dada zake watakubali kum-nominate iwapo atakuwa ame-win HoH na hivyo atajiokoa mwenyewe.
 
Kwani Boss u-HOH unapatikanaje kwa a particular housemate, au ni rotation?
 
Kwani Boss u-HOH unapatikanaje kwa a particular housemate, au ni rotation?

u-HoH unapatikana kila wiki baada ya task presentation!!! mshindi ndiye anakuwa HoH wa wiki inayofuata!!
 
Naona kuna dalili za kambi ya kina Emma/Kelvin kuchukua HOH next week
 
nataka nishiriki bg b next year nitaweza kamchezo kenyewe karahisi sn, sioni
entertainer kule labda kevin edd kama jinga tu mzamo bora kwa vile anajiachia sana.
 
nataka nishiriki bg b next year nitaweza kamchezo kenyewe karahisi sn, sioni
entertainer kule labda kevin edd kama jinga tu mzamo bora kwa vile anajiachia sana.
Eddie ni mshiriki mwenye umri mkubwa kuliko wote miaka 34 while wengine wengi wako kwenye 20's
 
Naona kuna dalili za kambi ya kina Emma/Kelvin kuchukua HOH next week

Mkuu ni dalili zipi ambazo umeziona na zimekuonyesha kwamba Emma/Kelvin wanaweza ku-win HoH? HoH Task ni open competition, kwa maneno mengine ni kambi 2 zinashindana, moja ina watu 4(5) na nyingine ina watu 2(3).

Kama chances za ku-win hiyo task zinakuwa evenly distributed kwa housemates wote, then kambi ya Eddie ina probability kubwa ya ku-win hiyo task.

HoH ni tamu kama alliance ina numbers kwa kuwa alliance ita-dictate nani awe nominated na nani awe up. Mfano, wiki hii alliance ya Eddie ilipanga nani awe nominated na Eddie am-save nani, ambacho hawakumwambia ni mtu wa kumpandisha.

Kama alliance haina numbers, opposing camp ndiyo watakupangia moves zako na utacheza kulingana na jinsi wao wanavyokupangia.

Kwa stage ilipofika BBA, moves nyingi ziko predictable. Mfano, Kevin aki-win HoH, obvious anaweza kum-swap Eddie au Mzamo. Emma aki-win HoH, atam-swap Nkenna. Mzamo na Eddie watawa-swap Emma au Kelvin. Geraldine na Nkenna wanabanwa na Nigeria Factor, so wanabaki na uwanja mdogo sana wa kucheza, wanaweza kum-swap Emma na Itai. Itai aki-win, anaweza kuwa na open swap japo anaweza asiiguse kambi ya Eddie kwa kuwa wiki hii Eddie amem-save.
 
Keil kwa nini kuna un even no. za housemate kutoka nchi shiriki? mfano Naigeria 3 south na kenya 2 sisi PHYSCO pekee
 
Keil kwa nini kuna un even no. za housemate kutoka nchi shiriki? mfano Naigeria 3 south na kenya 2 sisi PHYSCO pekee

Sifahamu kwanini mwaka huu kumekuwa na tofauti ya idadi ya washiriki kutoka nchi mbali mbali. Miaka ya nyuma kila nchi ilikuwa inatoa mshiriki mmoja. Labda ndio mambo ya BBA Revolution!
 
Sifahamu kwanini mwaka huu kumekuwa na tofauti ya idadi ya washiriki kutoka nchi mbali mbali. Miaka ya nyuma kila nchi ilikuwa inatoa mshiriki mmoja. Labda ndio mambo ya BBA Revolution!
....kama sikosei nilisikia un-even number mwaka huu imezingatia subscribers wa dstv katika nchi husika...i think the ones with the most dstv subscribers got to send more participants into the house......i stand to be corrected?
 
hili la kwamba eti hatupendi sisi mablack limeniudhi! sasa hebu arudi atuambie vizuri!

huyu mtoto hana experience wala exposure ktk maswala ya relationships, miaka 22 ameshakutana na wangapi mpaka aseme kwamba blacks sio serious ndio maana kaenda na weupe/mweupe (kama alivyojibu swali la IK)...

na off course huwezi kujua blacks wako vipi kabla hujawa nao close ati!! ndio maana Kevin kamtoa tongo tongo mpaka akakiri kwamba if it happen her man doesnt want her halafu akampata kama Kevin she will go for it..sasa mbona watu kama Kevin na hata waliomzidi wapo?

bado hajakutana na mzungu wa kumtoa kamasi na mchozi kila siku wala hajakutana na mmoja wa wale vijana weusi wabongo halisia wanaojua hasa maana, sababu na jinsi ya kupenda, ndio maana ana ongea ongea tu vitu visivyoeleweka...
 
Back
Top Bottom