Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DSTV wameshambuliwa na virus flani hivi... Decorder zinazorota! Anyone to inform them? Ukibonyeza OK, kisha ukabonyeza HouseMates katika Channel 198 basi kimbembe kinafuatia... Remote inasinzia kabisaa hadi u-reboot
richard amuonya latoya
MSHINDI wa shindano la Big Brother II mwaka jana, Richard Bezuidenhout, ametoa ushauri wa bure kwa mwakilishi wa Tanzania katika shindano la mwaka huu BBA 3, Latoya Lyakurya, kuwa mwangalifu na kubadili tabia yake endapo anataka kuendelea kukaa katika jumba hilo.
Akizungumza kwenye kipindi cha Jambo Afrika, kinachorushwa na Televisheni ya TBC 1, juzi, Richard alisema kwamba mshiriki huyo amezidi kuwa mapepe, hivyo apunguze.
Jambo jingine analolifanya ni kutudhalilisha Watanzania, hivyo aelewe kwamba ukiwa machachari sana, watu huchoshwa na wewe, hivyo wanaweza kukupigia kura za kukutoa kwenye jumba, alisema Richard.
Latoya ambaye amepigiwa kura za kutolewa kwenye shindano hilo, pamoja na mshiriki mwingine Tayana hatima yao iko mikononi mwa mashabiki wa nchi wanazotoka, hivyo wameombwa wawapigie kura ili kuwanusuru.
Katika hali isiyo na kificho, hatima ya Latoya kubaki BBA3 iko mikononi mwa Watanzania, hivyo wamnusuru kwa kumpigia kura kwa njia ya ujumbe mfupi, alisema Richard.
Jumapili iliyopita, Latoya na Tawana walitolewa kwenye jumba hilo na kuweka kwenye shimo la taka, ambako mmoja kati ya wawili hao atatoka na mwingine kurejea jumbani Jumapili ijayo.
Aidha watazamaji wa shindano la BBA 3, linalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini juzi walianza kupiga kura ya kuchagua mshiriki atakayerudishwa kwenye jumba hilo kutoka katika shimo la taka, ambako wametenganishwa huku wakishuhudia kila kitu kinachoendelea kwenye jumba hilo.
Nilishtuka....nilijua binti kaya ndio mwakilishi wetu.......hebu tuambie huyo latoya anafananaje fananaje?
...Muacheni arudi nyumbani kama utamu alishaonja humo BB inatosha naona watz tunataka kutoana macho kisa binti anamegwa.....Mshiriki wetu kwenye jumba la big brother, Latoya yupo katika nomination week hii.
Did i hear shes been evicted .. au umbea .... gooooooooooosh now she has to face the innevitable ...... hope all will understand it was just a game
Latoya akitolewa sijui atalakiwa kama ilivyokuwa kwa Mwisho na Richard?ngoja tusubiri jpili so mbali
Nchi ngapi zimempigia kura?Finaly Latoya is out of the game.....welcome back baby....i will be visiting arusha in 4 weeks time.....its all about game...
Back to secretary work..u have miss work for so many days....