Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Lazy man, wala hakuwa na lolote, siku nyingi walikuwa wanamserve tu, normination ya leo Tawana yumo, probably Ricco again. Sijui kwa nini Thazel haiguswi
Hezeli Ndo mpishi wao na anaplay game vizuri kwa kuwapikia na usafi jikoni ndo maana kila mtu anampenda!