Leo ni game ya utangulizi kabla ya ligi kuanza ambayo hujulikana kama mchezo wa kugombea Ngao ya Jamii (Community Shield).
.
Palee Wembley Stadium saa kumi na moja kamili jioni (17:00) kwa saa za Afrika Mashariki timu hizi mbili Arsenal FC chini ya kocha wake Arsene Wenger na Chelsea FC chini ya Jose Mourinho zitakutana uso kwa uso.
Nani mbabe? Nani msindi??
Nn utabiri wako kwa game hii??
.
Katibuni
chelsea nomaaaa........