Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

Big Match: Arsenal FC vs Chelsea FC

Pasi makini toka kwa Walcott kwenda kwa Chamberlain yapeleka kilio kwa Chelsea...

Mpaka sasa Arsl 1-0 Chelsea dk ya 26 kipindi cha kwanza

Tunaendelea

BACK TANGANYIKA
 
Hawa jamaa wanaweza kupaki basi hata kama wamefungwa wao
 
Hazard ni boya, hyo goli hata dada angu angelifunga!!!
 
cute b kuja huku uone!!!

Hahahaaa ni kweli man u is the best.
Hagagagaaaaaaaaaaaaaa.
Kama vile natamani arsenal na chelsea wa droo ila ni vile nimewapa hela arsenal.
Mkuu umepotea sana
 
Last edited by a moderator:
Leo moureen hana ujanja hahahaaa lazma achapweeee.
Hahahaaa wazee wa kupaki ma buss
 
Hahahaaa ni kweli man u is the best.
Hagagagaaaaaaaaaaaaaa.
Kama vile natamani arsenal na chelsea wa droo ila ni vile nimewapa hela arsenal.
Mkuu umepotea sana

Kuwa mpoleeeee.....more magoliz aa kamingi
 
Back
Top Bottom