Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
hahahaa halaf ndio wahanga wakubwa wa hilo dubwana
tukutane baada ya dk90baka hii haipokwenye ubora wa kibarcelona km ya guardiola au luis enrique so sitoshangaa leo man u akipata sare
mimi man u naongea ukweliWashabiki wa Arsenal mna bwebwe sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi man u naongea ukweliWashabiki wa Arsenal mna bwebwe sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi man u naongea ukweliWashabiki wa Arsenal mna bwebwe sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu wewe nini uoni aibu kuwanga mapema kote hii uchawii huoukweli lazima usemwe, barca wazito.
tukutane baada ya dk 90, tena tusipoangalia na penalt watapata.
bado hatujawa na timu ya kucompete na timu kama barca,labda msimu ujao
Alafu bongo unashabikia timu ya wananchi [emoji23]unabet kizembe sana rafikiukweli lazima usemwe, barca wazito.
tukutane baada ya dk 90, tena tusipoangalia na penalt watapata.
bado hatujawa na timu ya kucompete na timu kama barca,labda msimu ujao
Co kweli kabisa kwenye maisha yangu yotee mtu akiwa mshabiki wa timu fulani hata kama atakutana na timu kubwaa vp haiwez tokea hayo unayoyasemamimi man u naongea ukweli
mimi nimetoa maoni kwa jicho la kiufundi sio kishabikiCo kweli kabisa kwenye maisha yangu yotee mtu akiwa mshabiki wa timu fulani hata kama atakutana na timu kubwaa vp haiwez tokea hayo unayoyasema
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeongea kwa jicho la kichambuzi sio kishabikiAlafu bongo unashabikia timu ya wananchi [emoji23]unabet kizembe sana rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app