SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliamini kuwa barcelona ingetolewa na Roma msimu uliopita?, Naomba nijibu hili kwanza kabla ya kukupa swali lingine..ukweli lazima usemwe, barca wazito.
tukutane baada ya dk 90, tena tusipoangalia na penalt watapata.
bado hatujawa na timu ya kucompete na timu kama barca,labda msimu ujao
joanah kuja uku useme eti Leo la pulga anatupia ngapi kambani
hahha aya ngoja tusubiri lkn mjomba ako ana kazi ya ziada ya kufnaya leoJana kwenye uzi wa kubet kule kuna mtu alisema man shit akifungWA anaacha kubet...sijui kama kaacha kweli
Hebu tusubiri mida ya saa sita hivi tutakuja kujadili matokeo,until then......i refuse to give up aseee!
nafeli wapInawezekana ni kweli ila unafeli sana mzee baba
nafeli wapInawezekana ni kweli ila unafeli sana mzee baba
roma ni roma na man u ni man uUliamini kuwa barcelona ingetolewa na Roma msimu uliopita?, Naomba nijibu hili kwanza kabla ya kukupa swali lingine..
roma ni roma na man u ni man uUliamini kuwa barcelona ingetolewa na Roma msimu uliopita?, Naomba nijibu hili kwanza kabla ya kukupa swali lingine..
tukutane baada ya dk 90Jana kwenye uzi wa kubet kule kuna mtu alisema man shit akifungWA anaacha kubet...sijui kama kaacha kweli
Hebu tusubiri mida ya saa sita hivi tutakuja kujadili matokeo,until then......i refuse to give up aseee!
fanya viceversa hapo mkuuMimi ni barca lakini man u anashinda 2-1
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kidogo unaelekea kwenye ukweliMimi man u pia...tutakomaa hazitafika zaidi ya mbili
Sent using Jamii Forums mobile app