Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

ukweli lazima usemwe, barca wazito.
tukutane baada ya dk 90, tena tusipoangalia na penalt watapata.

bado hatujawa na timu ya kucompete na timu kama barca,labda msimu ujao
Uliamini kuwa barcelona ingetolewa na Roma msimu uliopita?, Naomba nijibu hili kwanza kabla ya kukupa swali lingine..
 
joanah kuja uku useme eti Leo la pulga anatupia ngapi kambani

Jana kwenye uzi wa kubet kule kuna mtu alisema man shit akifungWA anaacha kubet...sijui kama kaacha kweli

Hebu tusubiri mida ya saa sita hivi tutakuja kujadili matokeo,until then......i refuse to give up aseee!
 
hahha aya ngoja tusubiri lkn mjomba ako ana kazi ya ziada ya kufnaya leo
 
Jana kwenye uzi wa kubet kule kuna mtu alisema man shit akifungWA anaacha kubet...sijui kama kaacha kweli
Hebu tusubiri mida ya saa sita hivi tutakuja kujadili matokeo,until then......i refuse to give up aseee!
tukutane baada ya dk 90
 
Back
Top Bottom