sanaMsema kwel mpenz wa mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi inaitwa BASA, sio BAKA!baka hii haipokwenye ubora wa kibarcelona km ya guardiola au luis enrique so sitoshangaa leo man u akipata sare
Mimi sio shabiki wa man,Man anashindaLeo Dunia itasimama kwa dakika 90 kushuhudia mtanange wa aina yake katika ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali kati ya Man Utd Vs Barcelona mechi itakayopigwa katika dimba la Old Trafford.
Karibu kwenye uzi kwa ajili ya ubashiri, maoni na mtazamo kuelekea mtanange wa leo wa kukata na shoka.
Muda wa mechi ukiwadia, nitatupia yote yatakayokuwa yanajiri. Mwanamichezo huu ni uzi wako, karibuni sana!
Utabiri wangu:
Man Utd 1-1 Barcelona
Tusubirie dk 90 mkuu
Kauli ipi?Hii kauli imesikika sana leo kwa mashabiki wa red devil