Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

MIMI MAN U: LEO TUNAPIGWA NA BARCELONA SI CHINI YA GOLI 2.
 
Nasikia hatoanza game ya leo??
IMG_20190410_124836.jpeg
 
Leo Dunia itasimama kwa dakika 90 kushuhudia mtanange wa aina yake katika ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali kati ya Man Utd Vs Barcelona mechi itakayopigwa katika dimba la Old Trafford.

Karibu kwenye uzi kwa ajili ya ubashiri, maoni na mtazamo kuelekea mtanange wa leo wa kukata na shoka.

Muda wa mechi ukiwadia, nitatupia yote yatakayokuwa yanajiri. Mwanamichezo huu ni uzi wako, karibuni sana!

Utabiri wangu:
Man Utd 1-1 Barcelona
Mimi sio shabiki wa man,Man anashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma kidogo game za UEFA jumatano tulikua tunaziona kwa channel moja ya Kenya na moja ya Uganda..naona makaburu wamekaza kamba wameona tunafaidi..
 
Back
Top Bottom