BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Leo Dunia itasimama kwa dakika 90 kushuhudia mtanange wa aina yake katika ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali kati ya Man Utd Vs Barcelona mechi itakayopigwa katika dimba la Old Trafford.
Karibu kwenye uzi kwa ajili ya ubashiri, maoni na mtazamo kuelekea mtanange wa leo wa kukata na shoka.
Muda wa mechi ukiwadia, nitatupia yote yatakayokuwa yanajiri. Mwanamichezo huu ni uzi wako, karibuni sana!
Utabiri wangu:
Man Utd 1-1 Barcelona
Mkuu urudi baada ya dakika 90man u lazima afungwe jamani, tusitaniane.
Mpira saa ngapi kwanMkuu urudi baada ya dakika 90
baka hii haipokwenye ubora wa kibarcelona km ya guardiola au luis enrique so sitoshangaa leo man u akipata sare
Mpira saa ngapi kwan
Thanx, ngojea nikatazame Barca akilambishwa mchangaSaa 4 kami
Saa 4 kamili mkuu, usikae mbali kuiona Man Utd ikitakata leoMpira saa ngapi kwan