Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

Leo Dunia itasimama kwa dakika 90 kushuhudia mtanange wa aina yake katika ligi ya mabingwa ulaya hatua ya robo fainali kati ya Man Utd Vs Barcelona mechi itakayopigwa katika dimba la Old Trafford.

Karibu kwenye uzi kwa ajili ya ubashiri, maoni na mtazamo kuelekea mtanange wa leo wa kukata na shoka.

Muda wa mechi ukiwadia, nitatupia yote yatakayokuwa yanajiri. Mwanamichezo huu ni uzi wako, karibuni sana!

Utabiri wangu:
Man Utd 1-1 Barcelona

Mzee baba, Man u 0-3 Barca....Mark my words

Mungu akijaalia Messi atapiga freekick kama kawaida yake
 
Battle ya leo
IMG_20190410_214025.jpeg
 
Back
Top Bottom