Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Mmmmh JOHN BOCCO A.K.A JOHN FARU NI NOUMA KAMA SIYO HAATAAREEE .
KAKATA MKIA WA MNYAMA SIMBA NA KUONDOKA NAO.
HUYU THIMBA SASA NI SAWA NA NYAU TU
 
kuna jamaa anasema ukiwa top scorer hapo Simba msimu unaofuata unaachwa. Na ndio maana Kichuya kaamua kuacha.
 
Tulitaka azam ishinde ili katibu mpya wa azam media aonekane utendaji wake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom