Vipi mkuu ule ushauri uliotupa Yanga wa kufukuza kocha ukiuelekeza kwenu?Simba imeniharibia sana siku yangu .
NI SAWA NA KUSEMA!Bora kufungwa na azam kuliko yanga
leo meendelea kupokea ha ukwezi.......ni yuleyule aliyepigwa cha ukwezi zanzibar!Mpira umeishaje matokeo jamani
Bado Mechi 10, Niulize baada ya Mechi 7 Mkuu....Mkuu naona na nyinyi mko kwenye mbio za ubingwa! au sio?
Toka lini ngoma ya watoto ikakesha?!
Tatizo la simba si kocha , ni uongozi mbovu usio na visheni yoyote .Vipi mkuu ule ushauri uliotupa Yanga wa kufukuza kocha ukiuelekeza kwenu?
Tena tumewahonga mchana kweupeeee! Manina zenu!
Mkipanga kikosi cha leo kwenye mechi na yanga nna uhakika mtang'oa hadi magoliSubirini February mkutane na mnyama
Viti vipo salama hapo TaifaTatizo la simba si kocha , ni uongozi mbovu usio na visheni yoyote .
Akikujibu nishtueVipi mkuu ule ushauri uliotupa Yanga wa kufukuza kocha ukiuelekeza kwenu?
[emoji4]Tatizo la simba si kocha , ni uongozi mbovu usio na visheni yoyote .
Tayari Mkuu.Akikujibu nishtue