Mpira umekwishaaaaaaa!Naaaam nikiropoti mubashara kutoka uwanja wa taifa jijini dar es salaam dakika ni ya 90' azam bado wanaongoza kwa bao moja dhidi ya wekundu wa msimbazi simba
Dakika zinazo subiriwa hapa ni za mwamuzi
Hizi ni hujuma za waziwazi.mpira gani usioisha huu???
hakuna zam ya yanga nyie mshapiogwa imetoshaBado zamu ya Yanga,, Azam hana masihara na hizi timu kabisa.
Yanga mmewahonga Azam!Na mpiraaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaaaaa
Asanteni Azam
Asante Bocco.
Ni zamu ya wanaume Yanga kurudi kileleni,wenye baiskeli ya miti wameshakaa pembeni.
Cheers [emoji485]
Weweeeeeee tulia kama sio Du'a zetu Yanga msingeshindaBado zamu ya Yanga,, Azam hana masihara na hizi timu kabisa.