Walishaambiwa baiskeli yao ya miti hawafiki popoteNa mpiraaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaaaaa
Asanteni Azam
Asante Bocco.
Ni zamu ya wanaume Yanga kurudi kileleni,wenye baiskeli ya miti wameshakaa pembeni.
Cheers [emoji485]
Si ajabu ajabu mnafungwa kipind ambacho mnatakiwa angalau mtuonyeshe ss mnaosema tunajiita wa kimataifa kuwa hatuna lolote,mje mtwae kombe tunashangaa mnatuachia tna mnadhani tukishakaa hapo juu mnaweza kututoa kalaghabhaoKufungwa mechi si ajabu sana kwani yanga haijawahi kufungwa?
Vipi Nifah wamatopeni wanasemaje?Leo ndio Yanga tutaongoza rasmi msimamo wa ligi kuu hadi mwisho wa ligi.
Hakuna namna ambayo Simba anaweza kuifunga Azam.
Tukutane jioni
Wazaramo wana msemo wao unasema"Inda a mbigalo hailavaga mwana "maana yake "Tumbo la mwanaume halibebi/halitoi mtoto "..Kweli Mkuu
Huku ni raha tupu.
Mpira karibia unaisha tuserebuke vizuri.
Hahahahahaaaaa
Pole mumy njoo huko kwa wakimataifa utengeneze siku nyingi za kuishiSimba imeniharibia sana siku yangu .
Upo? Long time.....!Hahahahaaaa!!! Habari za jioni wana mikia wote, hukohuko mafichoni zitawafikia tu. Kamoja huwa katamu eeh... Zenji pia hivyohivyo
Kweli si ajabu maana azam anakujua tangu mapinduzi cupKufungwa mechi si ajabu sana kwani yanga haijawahi kufungwa?
Tuliza papuchi u comment kitu cha akili weweKweli si ajabu maana azam anakujua tangu mapinduzi cup
No, posa walitoa Zanzibar Leo wameoa kabsaazam wametoa posa kabisa
Mkuu pole, fukuzeni kocha harakaSimba tumepigwa kihalali kabisa,tulieni acheni ubishi.Omog hana jipya mbele ya Azam,wanajua kila mbinu yake.Kama tunataka ubingwa ni wakati wakushinda mechi zote ikiwemo ya yanga.
Na joto hili kameingia mpaka sehemu husika.Hahahahaaaa!!! Habari za jioni wana mikia wote, hukohuko mafichoni zitawafikia tu. Kamoja huwa katamu eeh... Zenji pia hivyohivyo
Tena tumewahonga mchana kweupeeee! Manina zenu!Yanga mmewahonga Azam!