Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

adf98ea888c91314aae581f4f04e74eb.jpg

Jamaa wanatia huruma lakini hamna namna maana timu waliyonayo ni ya mabonanza.
 
Kufungwa mechi si ajabu sana kwani yanga haijawahi kufungwa?
 
goli la wana ice cream linakuwaga tamu kama ice cream.
 
Na mpiraaaaaaaaaaaaaaaa
Umekwishaaaaaaaaaaa

Asanteni Azam
Asante Bocco.

Ni zamu ya wanaume Yanga kurudi kileleni,wenye baiskeli ya miti wameshakaa pembeni.
Cheers [emoji485]
Walishaambiwa baiskeli yao ya miti hawafiki popote
Sasa ndiyo kwanza Yanga inaanza ligi kesho
 
Kufungwa mechi si ajabu sana kwani yanga haijawahi kufungwa?
Si ajabu ajabu mnafungwa kipind ambacho mnatakiwa angalau mtuonyeshe ss mnaosema tunajiita wa kimataifa kuwa hatuna lolote,mje mtwae kombe tunashangaa mnatuachia tna mnadhani tukishakaa hapo juu mnaweza kututoa kalaghabhao
 
Kweli Mkuu
Huku ni raha tupu.
Mpira karibia unaisha tuserebuke vizuri.
Hahahahahaaaaa
Wazaramo wana msemo wao unasema"Inda a mbigalo hailavaga mwana "maana yake "Tumbo la mwanaume halibebi/halitoi mtoto "..

Ndo kitu ambacho Simba wamekionesha leo...Azam wamenifurahisha leo!
 
Back
Top Bottom