Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama


Last Activity:
13 minutes ago
Joined:
May 25, 2011
Messages:
3,130
Likes Received:
912
Trophy Points:
280
Liked:
3,567

sembo
JF-Expert Member, Male

sembo was last seen:

13 minutes ago
Muacheni aisee..msije mkamshawishi aanze kujibu hoja za humu mpaka akapandwa nahasira akavunjwa kiti cha sebuleni kwake///

muacheni kama alivyo//
 
Asante My AZAM Mji sasa Umetuliaaaa...

Sio SIMBA, sio chui, sio YANGA haa bidhaa yetu inatosha kujigamba haa na hatuna maneno ya kwenye kanga goli juu ya goli yaani bamba to bambaa hahah

Mkuu naona na nyinyi mko kwenye mbio za ubingwa! au sio?
 
Muacheni aisee..msije mkamshawishi aanze kujibu hoja za humu mpaka akapandwa nahasira akavunjwa kiti cha sebuleni kwake///

muacheni kama alivyo//
Mkuu sembo usijibu neno lolote, ukiamua kujibu ban inakuhusu moja kwa moja maana hutakubali kuvumilia hizi kejeli zetu.

Poleni sana mikia fc.

Natoa angalizo kwa wakimataifa wenzangu; tucheke kidogo tutulie ligi bado inaendelea.
 
mkuu yanaga tumepiga nani na ngapiii leo??

Kuhusu Yanga usijali Mkuu!

Kama kawaida yetu ....Leo game imeshachezwa...vijana wa Mwadui wanatabasamu muda huu .Kila wakiangalia salio kwenye miamala yao ya MPESA inasomeka:-

"Imethibitishwa umepokia kiasi cha TSH 300,000/= kutoka kwa Yusuf Mahbou Manji. Salio lako jipya la MPESA ni TSH 301,200/=".

wewe kama mshabiki wa Yanga usiwe na hofu yeyote ......Kaa kando na luninga yako kesho saa 10 jioni ,si kushuhudia nani anashinda. Bali Timu yetu Uanga inafunga mabao mangapi!
 
kupigwa dole? kama red card poa tu wacha nisaliti hata timu yangu lakini sio kusaliti mwili wangu. usifanye mchezo na thamani ya mwili wa mtu wewe.
 
Wakuu basi imetosha vp msemaji wetu yule Zungu leo ameongea nin labda kwa faida ya sisi wanamikia!!!!
 
Mkuu sembo usijibu neno lolote, ukiamua kujibu ban inakuhusu moja kwa moja maana hutakubali kuvumilia hizi kejeli zetu.

Poleni sana mikia fc.

Natoa angalizo kwa wakimataifa wenzangu; tucheke kidogo tutulie ligi bado inaendelea.


mkuu!

hii wasiwasi inatoka wapi tena? Sio kawaida yetu sisi wanajangwani.....!

sisi ni watu wa kujihakikishia kwenye kila jambo....Hatupaswi kuweka shaka kwenye hambo lolote linalo husu Yanga...

Sisi sio watu wa ''Bahati nasibu"..

Hivi unajua kuwa Kwa shabiki wa simba kuamini kuwa timu yake Inaweza kuwa bingwa ni sawa na kuweka mkeka wenye timu 12 ukiwa umeweka 100,000/=?. Yaani huwa uhakika na kama itatokea au lah!

Yale majonzi aliyonayo mtu aliyechana mkeka wake wa 100,000/= wenye timu 12 ..yana fanana na majozi waliyo nayo wale walioanzaisha uzi huu na wakaukimbia..
 
makali ya hilo panga tu ni kiashiria tosha leo Taifa tunagawana nyama ya Simba
Hayo MAPANGA si yamezuiliwa na Kamanda Saro? Kwanini Askari hawakumuzuia Boko Kuingia na panga Uwanjani? Ona sasa anataka kumjeruhi Mnyama!
 
Mkuu usiwe na haraka ya uroda...

Kesho wanajangwani watakupatia uroda wa wiki nzima.....utakaa nao kwa muda wa siku 7.

si najua nddio zetu..
hahahaa sana mkuu,dah nlikuwa sijafahamu kumbe mechi ni kesho ase.
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wazaramo wana msemo wao unasema"Inda a mbigalo hailavaga mwana "maana yake "Tumbo la mwanaume halibebi/halitoi mtoto "..

Ndo kitu ambacho Simba wamekionesha leo...Azam wamenifurahisha leo!
Hunizidi mimi Mkuu.
Nina furaha sana,sana.
Huku Yanga kule Arsenal
What a wonderful day?
Cheers [emoji485]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…