Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

Yanga acheni fitna bhn hivi kwanin hamtak kuona simba ikipanda ndege maana fainal ya fa ni yanga na azam km mwaka jana halafu ubingwa jangwan sasa kuna kazi tena hapo......
 
Kama la mamayo lilivyo na tatizo

Hallo Mdada!

achana nao hao! yaani wewe fanya kama unajibizana nao kwa mbali.....

zile hasira zao za kung'oa viti bkutokana na matokeo zimo miyoyoni mwao na zina kaa pale kwa takriban muda wa masaa 72 (Tafiti zinasema).

Usikute amesusa hata kula chakula cha jioni....! wana hasira sana hao watu...kama wale ndugu zetu wa kanda ya ziwa!
 
Yanga acheni fitna bhn hivi kwanin hamtak kuona simba ikipanda ndege maana fainal ya fa ni yanga na azam km mwaka jana halafu ubingwa jangwan sasa kuna kazi tena hapo......

Mkuu,

hatuwezi kuthubutu kuwaachia siti za ndege hawa jamaa!


watalitia Taifa haibu mno. Imagine kikosi hiko chao wakutane na vigogo wenzetu wa kimataifa kama akina Al Ahly na TP Mazembe....wanaweza wakapigwa 'mkono' nje na ndani.

sasa endapo ikitokea hivyo itakuwa ni masononeka makubwa sana kwa Taifa na ni janga ambalo nchi itaathirika sana kuanzia uchumi wa Taifa mpaka maisha ya mwananchi mmoja mmoja...


hivyo yatupasa kuepuka sana kuwapa tiketi hawa jamaa....

Najua kuwa tuna kazi kubwa sana kuwazuia kule kwenye FA .....nikimkosa kumzuia mimi najua tu LambaLamba atamzuia kule....si unajua kuwa lambalmba naye anahitaj kupanda ndege kupitia FA?

Aisee tusaidiane kwa hali na mali kuepuka hii aibu watakayo tuletea hawa wamatopeni endapo tukiwapa nafasi ya kupanda nege,,,
 
Kufungwa mechi si ajabu sana kwani yanga haijawahi kufungwa?
Asante My AZAM Mji sasa Umetuliaaaa...

Sio SIMBA, sio chui, sio YANGA haa bidhaa yetu inatosha kujigamba haa na hatuna maneno ya kwenye kanga goli juu ya goli yaani bamba to bambaa hahah
 
44652.jpg

Last Activity:
13 minutes ago
Joined:
May 25, 2011
Messages:
3,130
Likes Received:
912
Trophy Points:
280
Liked:
3,567

sembo
JF-Expert Member, Male

sembo was last seen:

13 minutes ago
 
Asante Mkuu Danny greeny. Pia mwana Mbumbumbu Okwi Boban Sunzu sasa hivi kajifungia chini ya kitanda akisikilizia maumivu.
 
08ef891c880f68a48218a9c4031dd1d6.jpg
Hahahaa poleni sana wana simba
msituchukie azamu mchukieni JOHN BOKKO
 
Back
Top Bottom