Big Oil Companies Shell & Co: Kwanini zina shida Afrika tu?

Big Oil Companies Shell & Co: Kwanini zina shida Afrika tu?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
kuna kitu bado sijaelewa, kwa nini big natural resources capitalistic companies zina shida barani afrika tu au niwe specific sub-saharan afrika kwetu tu lkn kwingine kote ni success pande zote mbili i.e muwekezaji na host country? ukiangalia kwa mfano oil shell wamekuwa na shida kubwa kubwa nigeria kuanzia kulaumiwa sijui polution of niger delta mpaka vita huku umasikni ukitamalaki kila mahali wakati huo huo kampuni hiyo hiyo ya shell iko partner na nchi ya brunei 50/50 na leo hii brunei is one of the richest countries in the world sababu ya oil inayoshirikiana na shell oil companiy inayotuhumiwa "kuiba na kuharibu mazingira" nigeria, na dunia nzima shell works na inanufaisha nchi iliko-invest lkn afrika ni vilio nigeria, equatorial guinea mpaka hata ghana (btw raisi wa ghana yuko busy sasa hivi anazunguka dunia nzima kudai fidia ya utumwa uliotokea miaka 400 iliyopita sasa hivi yuko jamaika).

na siyo oil tu ukiangalia mfano mwingine guinea in west afrika is the world largest bauxite(kila kitu aluminium) exporter lkn guinea ni vilio vitupu kwamba wanaibiwa lkn alcoa ameinvest dunia nzima and it works alcoa yuko australia, USA mpaka europe kote ni win win lkn afrika wanasema wanaiba.

angalia kongo dr wanasema kila apple iphone ina sehemu ya madini ktk kongo lkn kongo ni masikini wa mwisho duniani kwa nini sehemu nyingine dunian it works lkn kwetu afrika tunasema wanaiba.

sasa swali ni kwa nini hizi global companies "ziibe" afrika tu na siyo kwingineko? je, tunadanganywa labda na wanaoiba communist politburo wetu na siyo capitalistic companies? vinginevyo unalielezeaje hil kwa nini bahrain, kuwait, zinufike na hao hao capitalist investor lkn kwetu "waibe"?.

we have been lied to ...
 
Nani kakuambia zina shida Afrika peke yake?

Hebu soma historia ya South America na hizo kampuni za mafuta utajua kuwa afadhali ya Afrika ujambazi waliofanya huko
 
Nani kakuambia zina shida Afrika peke yake?

Hebu soma historia ya South America na hizo kampuni za mafuta utajua kuwa afadhali ya Afrika ujambazi waliofanya huko

unaona, kwa nini ikifikia hapo waafrika wanakuwa soo emotional hata hakuna nafasi ya logical discussions? kwa nini brunei iimekuwa ni nchi tajiri duniani kwa kuingia ubia na Big oil shell lkn ishindikane afrika kwetu? nchi ya chile imejengwa na ktk chini mpaka ilipo leo hii na copper na same copper iko zambia pia na investors ni wale wale bhp, anglo american & co. sasa kwa nini waibe zambia na siyo chile? plus kama hata anamuita investor jambazi it tells a lot ...
 
Kijana you have a rosy view of the world inaonekana bado huna experience na maisha.

Watu wanadhamini vikundi vya kigaidi na kuwapa silaha, kuplot assasination za viongozi, kuangusha uchumi, fake terrorist plots etc. wewe unadhani kila mwekezaji anakuja na pure intentions pekee wenye nchi ndo wenye shida.

Hebu msikilize former director wa CIA operations in Angola John Stockwell hapo chini 👇🏼👇🏼

View attachment 3647571

angola ilikuwa communist, unajua communist wanachokifanya? btw leo hii angola is doing fine wanajitahidi ingawaje bado wana kazi na changamoto kubwa ya kuinua watu wa chini hasa wa mikoani na vijijini ...
 
Back
Top Bottom