Nani kakuambia zina shida Afrika peke yake?
Hebu soma historia ya South America na hizo kampuni za mafuta utajua kuwa afadhali ya Afrika ujambazi waliofanya huko
Kijana you have a rosy view of the world inaonekana bado huna experience na maisha.
Watu wanadhamini vikundi vya kigaidi na kuwapa silaha, kuplot assasination za viongozi, kuangusha uchumi, fake terrorist plots etc. wewe unadhani kila mwekezaji anakuja na pure intentions pekee wenye nchi ndo wenye shida.
Hebu msikilize former director wa CIA operations in Angola John Stockwell hapo chini ππΌππΌ
View attachment 3647571