Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

Take those words to any Christian, from mlokole to the Pope, akisema ni uongo ujuebhuyo si Mkristu. Hii ya kuogopa ajira eti Rais atachukia, are you saying Dr. Karugendo wa Muleba Hospital naye aliogopa kumtibu mgonjwa wake corona huko Nzega kwa kumwogopa Magufuli wa St Peter's ya Dar es Salaam?

OK OK OK so he was wrong. Wamekufa wangapi? Tuliambiwa na WHO na Bill Gates kuwa maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani. Wakati wa uchaguzi at the height of corona , tundulissu alitembea nchi nzima mdomo wcazi akihutubia millions of millions of people (in hus words) wote midomo wazi. Kulikywa na Yanga na Simba na Mwadui na Azam FC midomo wazi jukwcaaczilihaa mdomo wazi, TUMEKUFA WANGAPI?

Chanjo ni biashara AT LEAST ay ni mtego kuuwa Waafrika AT WORST. I for one will not begin, WAANZE wao kwao kwanza tuone.
 
Crap
 
Kama ilivyo kweli kwamba matendo mengi ya utawala wa jpm ni mafundisho kwa kizazi cha sasa na mbeleni, hoja za jenerali ulimwengu zimejikita ktk mtazamo huo. Miezi michache iliyopita ilikuwa haieleweki sana kwa watu kuvaa barakoa hasa ktk mikusanyiko lkn sasa hii ni kawaida kama ilivyo kote duniani. Huu ni mfano rahisi wa jinsi gani kiongozi mmoja ktk mfumo wa utawala kama tanzania anavyoweza kuogopwa kiasi cha kupumbaza taifa. Hebu jiulize jpm alifanikiwaje kufuta kabisa azma ya mabadiriko ya katiba kwa zoezi (popular initiative) lililogharimu mabilioni ya pesa katika ilani za ccm na mijadala kitaifa. Tunahitaji nchi yenye taasisi imara zinazolindwa na katiba na sheria mahsusi kwa mustakabali wa ustawi wa taifa badala ya utashi wa mtu mmoja au kikundi cha wateule wachache. Jenerali Ulimwengu anachochea mijadala (conversations) kwa nia hiyo njema wakati wengine wamechagua kukaa kimya. Tunaomfahamu kwa miaka mingi hatushangai kwa hoja zake - he is the voice of reason.
 
Mkuu huyu Jenerali Ulimwengu ni masalia ya kizazi cha Burundi kilichokuwa kinaleta fujo mara kwa mara kwa Serikali. Serikali ya Michombero ikaamua kuwavurumusha na wakakimbilia Kagera, yeye Ulimwengu akiwa mdogo. Sasa, ile damu ya roho mbaya, ukatili na fujo fujo waliyokuwa nayo wazazi wake nae anayo na ndio inamsumbua.

Bahati nzuri, Serikali ya Tanzania inamjua uzuri tu. Rais Mkapa akimjua vizuri alimnyang'anyaga uraia ili arudi kwao. Kwa hofu ya "kushughulikiwa" akirudi kwao, akalialia akasamehewa aendelee kuishi kwetu. Lakini roho yake mbaya haijamtoka tu. Naishauri Serikali i deal naye ipasavyo asije akatuharibia nchi!
 
Bashite, Sabaya, Bashiru, Polepole, Msukuma, Ndugai hawamini kilichotokea.
 
Hahahaha unajua kuwa Generali alikua DC? Kwahio mnawapa wahamiaji nchi? Then mnawakana? Unamjua Generali?
 
Achana na Huu Ujinga, Siku Yako Ikifika Imefika Tu Haijalishi Uko Wapi na Ni Nini Unafanya, Kama Mungu alipanga Mzee JpJM aumalize Mwendo Kwa Style Hyo Ndio Wakati Wake. Kila Jambo Linalotokea Hapa Duniani Linatokea Kwa Sababu... Asante [emoji120][emoji120][emoji120]
 
His legacy is immortal oops🤭, Immoral 🤣
 
The despot forced CITIZEN Tv to apologize for criticizing him

Withholding information is the essence of tryanny , the dictator did a great job of tightening noose on press freedom ,media and activists who were bold enough to criticize his regime

And the MATAGAS who were championing individual interests to secure rent and other basic necessities..
 

Ni mjinga pekee ndo anaweza kuamini magufuli amekufa kwa Corona!!

But tujipe muda!!......
Muda husema yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…