Matangazo mzee nandio maana unaona kipindi kama block 89 kimekufa kilikuwa hakina matangazo yakutosha ilikuwa ni Voda na Pepsi basi ni tofauti na vipi vingine kama XXL inawadhamini yani matangazo zaidi ya matano. Mm ndio navyojua kama kuna mwengine anajua zaidi atakazia..Hivi nyie Wazoefu na Wataalamu wa hii industry ya habari, tusaidiane kidogo katika maswali haya.. Hizi redio na TV stations zinapataje faida kiasi cha kuweza kuendesha biashara na kuendeleza uwekezaji?.
Mzee unaipenda Sana clouds naona umen'gan'gania kweliMatangazo mzee nandio maana unaona kipindi kama block 89 kimekufa kilikuwa hakina matangazo yakutosha ilikuwa ni Voda na Pepsi basi ni tofauti na vipi vingine kama XXL inawadhamini yani matangazo zaidi ya matano. Mm ndio navyojua kama kuna mwengine anajua zaidi atakazia..
Clouds vipindi vyao wameiga east Africa redio na Rfm radio mfano mzuri kipindi Chao chao Cha jumapili top 20 break fast Cha Asubuhi kipindi Cha Xxl wameiga Rfm pia USA, shilawadu wamewaiga Tmz, kipindi Chao Cha washa kideo copy & paste Cha 360 Cha bet, kipindi Cha isack kimaro wa clouds fm Ni copy & paste ya kipindi Cha Rfm n.kMkuu nadhani ingawa sina hakika ni kwamba CmG walikosea sana kutosajili miliki ya vipindi.
Huna cha kuprove wala cha kushindanisha Wasafi na Clouds mm napenda entertainment naangalia media zote za burudani za hapa nchini siangali channel moja mm wasafi najua, clouds najua na Etv najua channel ambayo huwa siangali vipindi vyao wala kufuatiliaga ni Eatv kwa sasa.Mzee unaipenda Sana clouds naona umen'gan'gania kweli
Clouds vipindi vyao wameiga east Africa redio na Rfm radio mfano mzuri kipindi Chao chao Cha jumapili top 20 break fast Cha Asubuhi kipindi Cha Xxl wameiga Rfm pia USA, shilawadu wamewaiga Tmz, kipindi Chao Cha washa kideo copy & paste Cha 360 Cha bet, kipindi Cha isack kimaro wa clouds fm Ni copy & paste ya kipindi Cha Rfm n.k
Me kwangu huo ushindani wao nawaachia wenyewe me hauniusu ila kwangu napenda Burudani na media ninayoipenda Sana Ni Wasafi ila mzee ushabiki unishangaza Sana una act as if wewe Ni Sebastian maganga.Huna cha kuprove wala cha kushindanisha Wasafi na Clouds mm napenda entertainment naangalia media zote za burudani za hapa nchini siangali channel moja mm wasafi najua, clouds najua na Etv najua channel ambayo huwa siangali vipindi vyao wala kufuatiliaga ni Eatv kwa sasa.
Sio ushabiki ni ukweli nakuambia kwani we huoni clouds ni media kubwa kushinda wasafi yani umeshindwa hata kuona idadi ya vipindi ni vingi tofauti na Clouds ni vingi tofauti na wasafi? Ndio maana hata jana nilikuambia vipindi ambavyo napenda kuangalia wasafi ni refresh na series yao ya Isabella. sijasema wasafi ni media mbaya lakini kwasasa huwezi compare na Clouds labda siku za mbeleni huko....Me kwangu huo ushindani wao nawaachia wenyewe me hauniusu ila kwangu napenda Burudani na media ninayoipenda Sana Ni Wasafi ila mzee ushabiki unishangaza Sana una act as if wewe Ni Sebastian maganga.
Me sijawahi kuwashindanisha Wasafi na Clouds ila wewe ndio unalazimisha huo ushindani na Wala kwenye Uzi wangu sijawagusia kabisa hao Clouds zaidi yako ndo maana nikakuambia una act as if wewe ni Sebastian MagangaSio ushabiki ni ukweli nakuambia kwani we huoni clouds ni media kubwa kushinda wasafi yani umeshindwa hata kuona idadi ya vipindi ni vingi tofauti na Clouds ni vingi tofauti na wasafi? Ndio maana hata jana nilikuambia vipindi ambavyo napenda kuangalia wasafi ni refresh na series yao ya Isabella. sijasema wasafi ni media mbaya lakini kwasasa huwezi compare na Clouds labda siku za mbeleni huko....
Ulichofanya ww ni sawa kumfananisha Domo na Marioo wakati ni watu wawili tofauti kikubwa pamoja na uwezo alafu uyo unayetaka kumfananisha ndio anacopy na kujifunza kutoka kwa domo ndio ww unachofanya hapa... I'm done [emoji119]
Vina huohuo utofauti gani sawa.Kwani hiki kipindi na kile cha Homa cha ETV vina tofauti gani?
Unforgetable
Kalale haujui mzikipongezi kwa comedian deo
hao wengine waliyofanya ni ya kawaida tu
pongezi kwa comedian deo
hao wengine waliyofanya ni ya kawaida tu
sawa sijuiKalale haujui mziki
kwa muda wa dakika 10 utajadili mada ngapi? kwa kiwango chake amefanya vizuri tofauti na hawa wakina Idris, mc pilipili n.kJamaa hata hakueleweka alikuwa anachekesha nini kila akisema mudaaaa wanaitikia na kucheka mademu tu na vichekesho ni nisikia kama una udemu hakuna vichekesho vingine mpk waseme dem dem dem kwenye tv inaboa sana he is very young kwenye hiyo tasnia ajifunze vitu vya maana
Ana swaga Sana.Young Lunya huwa ni mnyama namkubali sana sana kijana anajua