Big Sunday live

Big Sunday live

Halafu pale Pale EFM ukimtoa Gerald Hando na ile team yake, ukawatoa wale jamaa wanaoendesha kipindi cha Singeli basi kile kituo kinaweza kufungwa kabisa.. Binafsi naona hivyo vipindi ndio roho ya EFM.. 😝 😝 😝 😝
 
Hivi nyie Wazoefu na Wataalamu wa hii industry ya habari, tusaidiane kidogo katika maswali haya.. Hizi redio na TV stations zinapataje faida kiasi cha kuweza kuendesha biashara na kuendeleza uwekezaji?.
Matangazo mzee nandio maana unaona kipindi kama block 89 kimekufa kilikuwa hakina matangazo yakutosha ilikuwa ni Voda na Pepsi basi ni tofauti na vipi vingine kama XXL inawadhamini yani matangazo zaidi ya matano. Mm ndio navyojua kama kuna mwengine anajua zaidi atakazia..
 
Mzee unaipenda Sana clouds naona umen'gan'gania kweli
 
Mkuu nadhani ingawa sina hakika ni kwamba CmG walikosea sana kutosajili miliki ya vipindi.
 
Clouds vipindi vyao wameiga east Africa redio na Rfm radio mfano mzuri kipindi Chao chao Cha jumapili top 20 break fast Cha Asubuhi kipindi Cha Xxl wameiga Rfm pia USA, shilawadu wamewaiga Tmz, kipindi Chao Cha washa kideo copy & paste Cha 360 Cha bet, kipindi Cha isack kimaro wa clouds fm Ni copy & paste ya kipindi Cha Rfm n.k
 
Mzee unaipenda Sana clouds naona umen'gan'gania kweli
Huna cha kuprove wala cha kushindanisha Wasafi na Clouds mm napenda entertainment naangalia media zote za burudani za hapa nchini siangali channel moja mm wasafi najua, clouds najua na Etv najua channel ambayo huwa siangali vipindi vyao wala kufuatiliaga ni Eatv kwa sasa.
 
Clouds vipindi vyao wameiga east Africa redio na Rfm radio mfano mzuri kipindi Chao chao Cha jumapili top 20 break fast Cha Asubuhi kipindi Cha Xxl wameiga Rfm pia USA, shilawadu wamewaiga Tmz, kipindi Chao Cha washa kideo copy & paste Cha 360 Cha bet, kipindi Cha isack kimaro wa clouds fm Ni copy & paste ya kipindi Cha Rfm n.k

Tmz nikipindi? Vp kuhusu the shade room? [emoji41] Nayo? Sijakuelewa naona unachora tu ovyo 360 sijui nn.. mara bet nn.. Andika vizuri basi kwanza tuongee kisomi tatizo lako huna pointi kwenye hii mada mzee wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kubishana na mm utaendelea kuwa defeated kuhusu entertainment ya bongo hapa..
 
Huna cha kuprove wala cha kushindanisha Wasafi na Clouds mm napenda entertainment naangalia media zote za burudani za hapa nchini siangali channel moja mm wasafi najua, clouds najua na Etv najua channel ambayo huwa siangali vipindi vyao wala kufuatiliaga ni Eatv kwa sasa.
Me kwangu huo ushindani wao nawaachia wenyewe me hauniusu ila kwangu napenda Burudani na media ninayoipenda Sana Ni Wasafi ila mzee ushabiki unishangaza Sana una act as if wewe Ni Sebastian maganga.
 
Sio ushabiki ni ukweli nakuambia kwani we huoni clouds ni media kubwa kushinda wasafi yani umeshindwa hata kuona idadi ya vipindi ni vingi tofauti na Clouds ni vingi tofauti na wasafi? Ndio maana hata jana nilikuambia vipindi ambavyo napenda kuangalia wasafi ni refresh na series yao ya Isabella. sijasema wasafi ni media mbaya lakini kwasasa huwezi compare na Clouds labda siku za mbeleni huko....

Ulichofanya ww ni sawa kumfananisha Domo na Marioo wakati ni watu wawili tofauti kikubwa pamoja na uwezo alafu uyo unayetaka kumfananisha ndio anacopy na kujifunza kutoka kwa domo ndio ww unachofanya hapa... I'm done [emoji119]
 
Me sijawahi kuwashindanisha Wasafi na Clouds ila wewe ndio unalazimisha huo ushindani na Wala kwenye Uzi wangu sijawagusia kabisa hao Clouds zaidi yako ndo maana nikakuambia una act as if wewe ni Sebastian Maganga
 
pongezi kwa comedian deo

hao wengine waliyofanya ni ya kawaida tu

Jamaa hata hakueleweka alikuwa anachekesha nini kila akisema mudaaaa wanaitikia na kucheka mademu tu na vichekesho ni nisikia kama una udemu hakuna vichekesho vingine mpk waseme dem dem dem kwenye tv inaboa sana he is very young kwenye hiyo tasnia ajifunze vitu vya maana
 
kwa muda wa dakika 10 utajadili mada ngapi? kwa kiwango chake amefanya vizuri tofauti na hawa wakina Idris, mc pilipili n.k
 
Back
Top Bottom