Big Sunday live

Big Sunday live

Umeona ee?una sebule nzuri sana
103639625_195499575039627_6298907952771267917_n.jpg

Ile shoo ya kipimbi sana , says mtu aliyefeli maisha Numbisa
 
Mkuu innocent dependent Wasafi wafanye yao waache tabia ya kuigaiga vipindi vingi vya Eatv Radia na Tv,watu wagawane wasikilizaji wao wapige pesa..Na ili pia tutangaze tamaduni zetu ni lazima tuwe na Media kubwa nyingi ikiwemo wasafi nk. Leo Hii Nba, Budesliga EPL ni Taasisi maarufu sana za kimichezo ka sababu media za nchi zao zinamchango kubwa kwenye hizo taasisi.
 
Wamejitahidi sana,,,wako vizuri saaaaaaana,,stage, wasanii wa hip pop wananata na beat balaa..Bila kumsahau content creater DIAMOND PLATNUMZ yuko vizuri kwenye kubuni vipindi,nadhani ndo kipaji chake kingine hicho..OMG,CHID BENZ ,LINNAH, YOUNG LUNYA plus comedian wamefanya balaaa
Wamebuni wapi wameiga kila kitu kutoka clouds alafu mnajifanya kama hamjui vile yani nyie watu ni kiboko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom