Bigbrother Africa tunaomba irudishwe

Bigbrother Africa tunaomba irudishwe

chokodari

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
1,380
Reaction score
1,191
Bigbrother ni mchezo mtamu sanaaa, ni mchezo wa kutumia akili sanaa, ni mchezo wenye burudani ndani yake na ni mchezo wa kufunza jinsi ya kumsoma mtu kisaikolojia na hata kumhisi huyu mtu anawaza nini.

Naupenda sana mchezo huu naona jinsi nigeria inavyozidi kunawili kujulikana duniani kupitia hili, ningependa siku moja nigeria ifanye uwe wa africa coz south africa imshindwa kuurudisha mchezo huu mkubwa africa je ni kwamba nigeria ndio kweli taifa lenye uchumi mkubwa??!!
Huu mchezo nimefanya utafiti unapendwa africa nzima bila chenga na wivu wanigeria wanaonewa.

Turudishieni bigbrother africa kwakweli coz wanigeria wanajiona sana kama wameteka africa
 
Sikuwahi kuupenda labda ile walioshiriki akina Mwisho maana watu walikuwa wanaishi kwa uhalisia, ila waliofuata wote wakawa wanaigiza tu ili wapate kura
 
Iliyoisha jana tamu jamani tuongee ukweli ingawa ni naija tu imefanya povu litoke sehemu nyingi africa kutaka lirudi la africa nzima coz nigeria wanajimilikisha kimya kimya basi wakitaka wafanye africa nzima kama south africa walivyofanya big up tu south africaaa
 
Ndio maana Ile inaitwa Big Brother Nigeria (BBN) . The funny thing ni kwamba tumeshindwa hata kuwa na shindano la kimataifa linaloeleweka sisi tunasubiri South Africa waandae ndio twende as if hatuwezi kishawishi sponsorship kubwa namna ile kuweza kuwa host wa shindano kama lile.

I think ni moja ya njia kubwa sana ya kutangaza vivutio vya utalii na biashara/uwekezaji kwa nchi yetu. Watanzania hayupo creative Yani tunaona no sawa Rais kuzurura maporini atangaze nchi na kuacha fursa kama hizi.🤷

Aliueturoga alikufa
 
Nilishasahau kama kuna kitu kama hicho, hata hivyo sikuwai upenda. Vijana wengi hata baadhi ya watu wazima wanapenda kufuatilia visa vya kimapenzi.

Mapenzi mapenzi tu nadhani ndo kinachowavuta mashabiki wake.
 
Kuna hawa Startimes walijaribu kuleta et ka-reality show kanaitwa Bingwa, nikajaribu kuangalia siku moja nilicheka sana.... Kila kitu cha hovyo, kuanzia waandaaji hadi washiriki wote wapuuzi tu
 
Naija ni takataka tupu....

Masoud airejeshe tu maisha plus yetu.. bora mara mia.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Ndio maana Ile inaitwa Big Brother Nigeria (BBN) . The funny thing ni kwamba tumeshindwa hata kuwa na shindano la kimataifa linaloeleweka sisi tunasubiri South Africa waandae ndio twende as if hatuwezi kishawishi sponsorship kubwa namna ile kuweza kuwa host wa shindano kama lile.

I think ni moja ya njia kubwa sana ya kutangaza vivutio vya utalii na biashara/uwekezaji kwa nchi yetu. Watanzania hayupo creative Yani tunaona no sawa Rais kuzurura maporini atangaze nchi na kuacha fursa kama hizi.🤷

Aliueturoga alikufa
Leo wametoa data wapiga kura wamepiga kura bilion 1.2 kutoka pande mbali mbali sasa jiulize jinsi nigeria inavyopaa na kwa sasa ndio ya kwanza kiuchumi africa, ok tunajua kuanzisha ile ni pesa ndefu but mfano tz wangefanya kiukubwa ya tz tu wagharamie kama nigeria wazamini wamiminike nauhakika nigeria watolea kijicho coz wanajitapa kinoma kwamba mkwaja upo
 
Naija ni takataka tupu....

Masoud airejeshe tu maisha plus yetu.. bora mara mia.
Tz wapambane bigbrother tz wagharamie wadhamini wajitoe coz leo zimetoka data bigbrother naija wapiga kura bilion 1.2 wamepiga kura all around the world
 
Ndio maana Ile inaitwa Big Brother Nigeria (BBN) . The funny thing ni kwamba tumeshindwa hata kuwa na shindano la kimataifa linaloeleweka sisi tunasubiri South Africa waandae ndio twende as if hatuwezi kishawishi sponsorship kubwa namna ile kuweza kuwa host wa shindano kama lile.

I think ni moja ya njia kubwa sana ya kutangaza vivutio vya utalii na biashara/uwekezaji kwa nchi yetu. Watanzania hayupo creative Yani tunaona no sawa Rais kuzurura maporini atangaze nchi na kuacha fursa kama hizi.🤷

Aliueturoga alikufa
Bongo utashawishi wauza bikini na waganga ndo wawe sponsors? Kwa pesa ipi? Fikiria MC ngeli iwe imenyooka for international audience nayo Ni changamoto.
NB;Tuanzie na *UCHAMBAJI FESTIVAL" tupate uzoefu
 
Labda hufahamu kwamba ilipokuwa BBA south Africa tulipeleka watanzania na walishinda Mara mbili, wa kwanza alikuwa Mwisho Mwampamba then akaenda Richard Bezuidenhout.

Vijana wapo wanaomwaga ngeli mzee hizi shule zote za English Medium zinazalisha watoto wanaangusha yai utadhani wamekaa majuu unless mazingira unayoongelea ni ya uswahilini. Huko huwezi kukutana na wanyanwezi. Njoo mitaa ya kishua mzee.
 
Nazungumzia Sponsors si washiriki.
NB: Idris nae alishinda Ila kwa sasa anachamba mitandaoni na anauza Biriani.
 
Hiyo ipo almost kila kona ya Africa, tatizo ni vijana ambao hawakuwa na mawazo ya kupata hela nyingi kwa muda mfupi, nadhani hawapewi elimu ya Utawala wa fedha.

Ingekuwa busara wangekuwa wanapewa na financial advisers ili wasipoteze hizo fedha maana unakuta ni kijana na amepata pesa nyingi ambayo hajawahi kuwaza ataipata ndani ya siku 98 tu Tena just by doing nothing much zaidi ya kula na kulala.

Wanapotoka kule anakutana na vijana wenzie lazima anajikuta ujana unamzidi na anashindwa kufanya maamuzi sahihi kuhusu pesa aliyopata.

Kuhusu sponsors naamini wapo Tena wengi sana, hatuwezi kutegemea sponsor wa ndani ya nchi pekee Ila hata nchini wapo bahati mbaya hatuna uwezo wa kuandaa business proposals zenye ushawishi kwa sponsor.

Unakuta theme yako ni ya kipuuzi sponsor hawezi kutoa hela kwenye Jambo ambalo alitapata mashabiki ili nae auze products zake kwa kupitia matangazo.
 
Back
Top Bottom