Biggest sexual fantasy ya wanawake ni ku-cheat

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Women's ideal sense of romance is literally cheating.

Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)

Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.

We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.

Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating

The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??

Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??

Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.

HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
 
Nadhani waandaaji na watunzi wa sinema na nyimbo ndyo huchochea na kuhamsisha cheating, wanawake ni victim na walengwa wa hilo.

Wanaoneshwa kwamba cheating ni kitu cha kawaida, wanaiga na kufanya hivyo, lengo ni kuwavuruga na kuwaharibia maisha yao.

Hizi sinema sio salama kwa wanawake tu, bali watoto pia, kuna maudhui ambayo yanabaki au kunasa vichwani mwao watazamaji... ( Subliminal mind control).....
 
Na wanawake ndio hawajui tofauti ya movie na maisha halisi.
 
Nadhani waandaaji na watunzi wa sinema na nyimbo ndyo huchochea na kuhamsisha cheating, wanawake ni victim na walengwa wa hilo.

Wanaoneshwa kwamba cheating ni kitu cha kawaida, wanaiga na kufanya hivyo, lengo ni kuwavuruga na kuwaharibia maisha yao.

Hizi sinema sio salama kwa wanawake tu, bali watoto pia, kuna maudhui ambayo yanabaki au kunasa vichwani mwao watazamaji... ( Subliminal mind control).....
Waandishi na Waandaaji wa cinema wanajua deep female desires, ni watu ambao wanasoma sana human characters and behaviours, na ndo maana wanatengeneza vitu vinavyovutia watu, kwasababu hufanya uchunguzi kabla ya kutengeneza cinema.

Ulichoongea hapo wewe ni aftermath, au tunaweza sema "effects of", tofauti kabisa na nilichokiongelea mm
 
Ndiyo ni tofauti na ulicho kisema wewe, lengo langu ni kutoa mtazamo wa awali na nia ya waandaaji wa sinema hizo, hawana lengo nzuri na jamii hata kidogo.

Maudhui yao hulega kuharibu maadili na values katika jamii, sio tu wanawake bali hata wanaume wapo hatarini, bila kusahau watoto.

Baba au Mama anaye jitambua hawezi ruhusu watoto waangalie hizi tamthilia au sinema, zinaharibu sana.
 
Women's ideal sense of romance is literally cheating.

Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)

Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.

We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.
Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating
The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??

Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??

Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.

HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
Jamaa movie zinakuharibu
 
Nadhani waandaaji na watunzi wa sinema na nyimbo ndyo huchochea na kuhamsisha cheating, wanawake ni victim na walengwa wa hilo.

Wanaoneshwa kwamba cheating ni kitu cha kawaida, wanaiga na kufanya hivyo, lengo ni kuwavuruga na kuwaharibia maisha yao.

Hizi sinema sio salama kwa wanawake tu, bali watoto pia, kuna maudhui ambayo yanabaki au kunasa vichwani mwao watazamaji... ( Subl
 
Kuna kitu kinaitwa social conditioning. Sote tunafahamu kwamba ndoa imara inaleta watoto wenye ufahamu na ujasiri wa ku challenge mamlaka. So these people wana target kuharibu vizazi ili wawe na watu docile ambao wanaweza kuwa control kwa urahisi. It's all about power and control hii dunia.
 
Sahihi kabisa
 
Duh nilikuwa sijui kama the great gatsby ya fitz gerald imetolewa movie, ngoja nikaicheki..!
 
Mwanamke ni mpumbavu sana hebu wazia hivi visa

1. Hajawahi kumtumia mpenzi wake picha za utupu lakini kwa anayecheat naye anamtumia

2. Anamwambia mume wake hasikii hamu ya kufanya naye ngono kwa anayecheat naye anampea yote

3. Demu yuko kwenye serious relationship na mipango ya ndoa inaanza anamcheat mchumba wake kwa kutoka na mume wa mtu. Jamaa anampiga chini demu na mume wa mtu naye yuko kwenye kiapo hawezi kumuoa. Mwisho wa siku anakosa vyote

4. Mke anakamatwa anacheat anamlalamikia mume wake yuko busy sana huwa anajisikia kuwa bored akajikuta anatoka na mwanaume mwingine

Ni kosa kubwa sana mwanaume kumwamini na kumpa kipaumbele mwanamke kwenye maisha yako wanawake wako loyal sana na hisia zao sio wewe

Kwa kuongezea wanawake huwa wanakua mwili tu na sio akili. Binti wa miaka 18 na mwanamke wa miaka 45 wote kimtazamo wako sawa tofauti ni umri tu
 
Back
Top Bottom