Biggest sexual fantasy ya wanawake ni ku-cheat

Biggest sexual fantasy ya wanawake ni ku-cheat

Women's ideal sense of romance is literally cheating.

Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)

Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.

We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.
Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating
The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??

Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??

Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.

HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
Damn man umeenda deep, asante kwa elimu. Plus kuongezea wanawake always wanatamani kujaribu vitu vipya
 
Damn man umeenda deep, asante kwa elimu. Plus kuongezea wanawake always wanatamani kujaribu vitu vipya
Hasa ukimkuta used

Mwanamke akishachezea mboo tofauti tofauti anakuwa mraibu wa mboo

Atataka kujaribu za wanaume mbalimbali ili atimize sexual fantasies and desires zake

Yaani suala la kuoa bikra sio la kulichukulia poa kabisa
 
Mnawaonea tu mwanaume gan hawazi kucheat tuwe wakwel kwenye vikao vyetu vile maana hua hatufichani kama hucheat unaonekana lofa
 
Kuna kitu kinaitwa social conditioning. Sote tunafahamu kwamba ndoa imara inaleta watoto wenye ufahamu na ujasiri wa ku challenge mamlaka. So these people wana target kuharibu vizazi ili wawe na watu docile ambao wanaweza kuwa control kwa urahisi. It's all about power and control hii dunia.
Ingekuwa hivyo basi watanzania tulngeshaitoa CCM madarakani. Maana wengi tumezaliwa kwenye ndoa imara lakini tumeishia kuwa machawa wa viongozi. Hii itakuwa hainapply Africa.....
 
Women's ideal sense of romance is literally cheating.

Sexual fantasy kubwa ya wanawake ni kucheat, na hii nimejifunza the hard way.(Hiki kisa ntakuja kukisimulia siku nyingine)

Mwanzoni nilikuwa mwenyew siamini ila baada ya kufanya uchunguzi kidogo, kuna mambo baadhi yameshawishi niamini hichi kitu, kwamba the biggest sexual fantasy kwa wanawake ni ku-cheat.

We jaribu tuu kufikiria, Succesful romantic movies karibia zote zinahusu cheating, and guess what? Ndizo movie zinazopendwa zaidi na wanawake.

Sleepless in seattle - cheating
You got mail - cheating
Four wedding and a funeral - cheating
Runaway Bride - cheating
Enchanted - cheating
Letters to Juliet - international cheating

The bridges of maddison country - Old people cheating
Stomp the yard - cheating
The notebook - so much cheating
The Great Gatsby - rich people cheating
Crazy stupid love - too much cheating
Titanic - cheating with a poor guy
Titanic ndo funga kazi, ni story inayomhusu mbibi ambaye yupo karibia kufa, but badala amkumbuke mme wake aliyezaa nae watoto na aliyeishi nae kwa miaka 70, anamkumbuka jamaa flani aliyefanya nae mapenzi(ali cheat nae) kweny meli wakati wa ujana wake, and women think this is romantic....
what the f*ck??

Most of these movies zinaanza mwanamke ana boyfriend/husband wake but movie inakushawishi kwamba jamaa sio mtu mzuri au kafanya kosa flani, then huyo mwanamke anakutana na mwanaume mwingine na baada ya muda mfupi tuu(wala sio muda mrefu inawezekana hata siku hiohio) anacheat nae, alaf utasikia wanawake wanaisifia movie ipo very romantic, how??

Tukija kweny music industry, ndo usiseme, ukiachana na wanamziki wa mbele akina taylor swift ambao nyimbo zao pendwa zinahusu cheating, we fatilia hata hawa wa bongo fleva Maua Sama, Nandi etc, most of nyimbo zao zinahusu cheating, unakuta anagombana na mpenzi wake, then anakutana na mshkaji mwingine, KAMBA! au anakuwa na mpenzi wake, then anakutana na mwanaume mwingine ambaye ni bora zaidi ya mpenzi wake, then cheating happens.

HAIWEZI IKAWA COINCIDENCE!
Dawa ni moja tu ya mwanamke aliyekucheat muache..ukifail hilo utanyanyasika sana.
 
Nadhani waandaaji na watunzi wa sinema na nyimbo ndyo huchochea na kuhamsisha cheating, wanawake ni victim na walengwa wa hilo.

Wanaoneshwa kwamba cheating ni kitu cha kawaida, wanaiga na kufanya hivyo, lengo ni kuwavuruga na kuwaharibia maisha yao.

Hizi sinema sio salama kwa wanawake tu, bali watoto pia, kuna maudhui ambayo yanabaki au kunasa vichwani mwao watazamaji... ( Subliminal mind control).....
Akili kubwa sana umeonyesha hapa.
Siwapend wanawake sana ila kwa hili umesimama upande wa haki na mimi naungana nao. Nafikiri wanakua victims zaid kwakua akil zao pia ni slow sana kwenye ku process mambo wengi wao
 
*bora nimuamini MBWA wangu atanilindia nyumba na himaya yangu kwa uaminifu mkubwa, kuliko mwanamke asiyejua anataka nini duniani.
 
Mi nadhan mtazamo huu upo sahihi sana kwa sababu movies hazijitengenezwi tu kipuuzi puuzi kuna kuwa na main theme ambayo ndio inatumika kuleta conflict na watu waweze kuwa excited nayo.
Kuhusu kucheat hiyo daah ni sawa ila ukimchunguza bata hutomla.
 
Ingekuwa hivyo basi watanzania tulngeshaitoa CCM madarakani. Maana wengi tumezaliwa kwenye ndoa imara lakini tumeishia kuwa machawa wa viongozi. Hii itakuwa hainapply Africa.....
Of course haya mambo yanatoka western world lakini taratibu yanaingia Africa kwa sababu tunaiga culture yao
 
Hivi kama upo single then ukapata ka mtu ka kukupunguzia upwiru ina maana unakuwa umecheat??[emoji15]
 
Back
Top Bottom