Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Naombeni mnijibu wakuu! Maana hapa mabishano ni makali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji Ni Mzamiru Tu Kwenye Hii Ligi...Bonge La Midfield [emoji91]
Mayele ni Striker namba 9 alaf Gael ni kiungo wa chiniMayele anacheza namba ngapi na gael namba ngapi?
Au mmeujulia mpira ukubwani?
Eti wanamuita kiungo punda! 😁😁 Katika pasi zake 10, basi 5 unakuta katoa boko kwa mpinzani!Mchezaji Ni Mzamiru Tu Kwenye Hii Ligi...Bonge La Midfield [emoji91]
Amewasajili Waburundi wangapi ukiondoa huyo Gael Bigirimana?wanasajili tu
kuna mburundi anasajili ndugu zake tu
wawili tena wote walikuwa hawana timu wapo mtaani tuAmewasajili Waburundi wangapi ukiondoa huyo Gael Bigirimana?
Eti wanamuita kiungo punda! 😁😁 Katika pasi zake 10, basi 5 unakuta katoa boko kwa mpinzani!
Wataje kwa majina! Maana kama ni Saido Ntibazonkiza, hayuko Yanga kwa sasa! Lakini pia msimu uliopita, shughuli yake uliiona.wawili tena wote walikuwa hawana timu wapo mtaani tu
kwa hiyo walioondoka aliwasajili au hakuwasajili ?Wataje kwa majina! Maana kama ni Saido Ntibazonkiza, hayuko Yanga kwa sasa! Lakini pia msimu uliopita, shughuli yake uliiona.
Hivyo siyo dhambi kama kocha atamsajili mchezaji mwenye uwezo kutoka nchini kwake, iwapo tu anakidhi vigezo vya timu.
Umesahau mauya aliwanyoosha kimoja mbele ya Samiakama zawadi mauya
ndo nn sasa ?Umesahau mauya aliwanyoosha kimoja mbele ya Samia
Jamaa Kwa Mpira Anaochezaga Huwa Namuonaga Akili Zake Hazipo Sawa [emoji38], Na Sielewagi Analishawishi Nn Benchi La Ufundi La National Team Mpk Kuwa Anapewa Namba Aisee!Eti wanamuita kiungo punda! [emoji16][emoji16] Katika pasi zake 10, basi 5 unakuta katoa boko kwa mpinzani!
Bora Hata Zawadi Mauya ila Mzamiru Hapana Big No [emoji38][emoji38]kama zawadi mauya