Bigirimana atamuweka nani nje First eleven?

Bigirimana atamuweka nani nje First eleven?

Mayele anacheza namba ngapi na gael namba ngapi?
Au mmeujulia mpira ukubwani?
 
wanasajili tu
kuna mburundi anasajili ndugu zake tu
 
wawili tena wote walikuwa hawana timu wapo mtaani tu
Wataje kwa majina! Maana kama ni Saido Ntibazonkiza, hayuko Yanga kwa sasa! Lakini pia msimu uliopita, shughuli yake uliiona.

Hivyo siyo dhambi kama kocha atamsajili mchezaji mwenye uwezo kutoka nchini kwake, iwapo tu anakidhi vigezo vya timu.
 
kwa hiyo walioondoka aliwasajili au hakuwasajili ?
 
Eti wanamuita kiungo punda! [emoji16][emoji16] Katika pasi zake 10, basi 5 unakuta katoa boko kwa mpinzani!
Jamaa Kwa Mpira Anaochezaga Huwa Namuonaga Akili Zake Hazipo Sawa [emoji38], Na Sielewagi Analishawishi Nn Benchi La Ufundi La National Team Mpk Kuwa Anapewa Namba Aisee!
 
Back
Top Bottom