Bigirimana atamuweka nani nje First eleven?

Mchezaji Ni Mzamiru Tu Kwenye Hii Ligi...Bonge La Midfield [emoji91]
yule wa kukaba tu bila kupeleka mbele mashambulizi! Anakaba vizuri anapokonya mpira kisha anarudisha nyuma ndiko akili yake iliko!!Angalia Bangala akipokonya mpira anaangalia mbele na kupeleka mpira sio Mzamiru!

Taifa Stars ilifungwa na Algeria kwa kiwango chake cha ndondo kapu!
 
Alisha staafu soka, akawa wakala ktk kiwanda cha bia, alitimuliwa kisa wizi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Byuti byuti.

Mkinuna natuma ingne.
 
Eti wanamuita kiungo punda! 😁😁 Katika pasi zake 10, basi 5 unakuta katoa boko kwa mpinzani!
Kama unaelewa mpira utampa Mzamiru heshima sana kwa anachokifanya.... Kwa wachezaji wa Tanzania naamini ndio mchezaji pekee anayeweza kufuata maelekezo ya kocha kwa 100%
 
Jamaa Kwa Mpira Anaochezaga Huwa Namuonaga Akili Zake Hazipo Sawa [emoji38], Na Sielewagi Analishawishi Nn Benchi La Ufundi La National Team Mpk Kuwa Anapewa Namba Aisee!
Kiukweli mzamiru
Atupe bamba za mganga anaemtumia....huo upunda wake bila pass accuracy angalau nusu ni kazi bure
 

Sio kwa ajili beki yenu ilichoma?[emoji23]
 
Mabishano ya nini tena! Tusubiri ligi ianze tuone uwezo wake ndio tutajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…