Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
yule wa kukaba tu bila kupeleka mbele mashambulizi! Anakaba vizuri anapokonya mpira kisha anarudisha nyuma ndiko akili yake iliko!!Angalia Bangala akipokonya mpira anaangalia mbele na kupeleka mpira sio Mzamiru!Mchezaji Ni Mzamiru Tu Kwenye Hii Ligi...Bonge La Midfield [emoji91]
Taifa Stars ilifungwa na Algeria kwa kiwango chake cha ndondo kapu!