Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za Kitanzania, hivyo kufanya jambo la kuondoka kuwa gumu na huenda akasalia mitaa ya Jangwani.

My Take
Niliwaambia huku ni kununua bidhaa mitandaoni.
 
Mambo ya kwenu yanawashinda, kocha wenu kashawaambia Bocco hamfai tumieni muda huu kusajili striker badala ya kuja kujambajamba kwa mambo yasiyowahusu.
Tulia kama unachambishwa mna nyuzi nyingi mmeanzisha kuhusu simba
Narudua tena kaa kwa kutulia
Kwani striker anasajiliwa humu jf na sisi wapenzi/wanachama wa simba ?
 
Mkiandika haya muwe mnaweka na uthibitisho wa kama hiyo kauli ni kweli ameisema huyo mchezaji, pia wekeni na mkataba wake na klabu kuona kama kuna hicho kipengele, zaidi ya hapo mtaendelea kubabaika kama mnavyobabaika issue ya Feisenge.
 
Ujue haya mambo nadhani ni yakufikilika tu ni visasili, hakuna timu ya bongo inaweza kuingia mkenge wa namna io huwa wana anza kuwapa mikataba ya kawaida kuwajaribu, wakifanya vizuri ndio una anza sikia fulani kaongezewa mkataba.

Rejea Morrison mpaka simba wanampora, kambore, yikpe, sarpong, fiston, hata saidoo kabla hajaongezewa. Labda kama wameamua wabadilike waache siasa katika usajili.

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
YANGA ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za Kitanzania, hivyo kufanya jambo la kuondoka kuwa gumu na huenda akasalia mitaa ya Jangwani.

My Take
Niliwaambia huku ni kununua bidhaa mitandaoni.
Tunarudi kule kule mkataba,sometimes mkataba unaibana timu na sometimes mkataba unambana mchezaji.

Haya na kuuliza wewe uliye shikilia bango la Fei je Bigirmana anaionea Yanga?

Why mnalalamika Fei anaonewa na Yanga?
 
Mkataba wa Fei tumeusoma, je wa huyo?!!
 
YANGA ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za Kitanzania, hivyo kufanya jambo la kuondoka kuwa gumu na huenda akasalia mitaa ya Jangwani.

My Take
Niliwaambia huku ni kununua bidhaa mitandaoni.
vipi kuhusu Okwa mlinunua kutoka site ipi ali express au amazon? Naye si anataka milioni mia nane ili kuvunja mkataba wake. Usajili ni kamari tujifunze kulifahamu hilo kwanza.
 
Kama timu za bongo hazijawekeza kwa scouting na madaktari bora ambao watawacheck wachezaji wa bingo kabla ya kusajiliwa,kila siku hawa wageni watakuwa wanapiga hela na wenzetu wapo vizuri kwenye kuandaa mikataba yao.

Najua mnawacheka Yanga ila kuna Okwa nae anataka dola 200000 ndipo avunje mkataba,mistake zile zile Kambole nae anasubiri kuvuta mzigo wake sijui tutajifunza lini.
 
vipi kuhusu Okwa mlinunua kutoka site ipi ali express au amazon? Naye si anataka milioni mia nane ili kuvunja mkataba wake. Usajili ni kamari tujifunze kulifahamu hilo kwanza.
Kwa hiyo Okwa kuuziwa mtandaoni kunawafanya Uto nao wanunue mchezaji Be Foward?! Ona huyu
 
Back
Top Bottom